Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Duh! Labda wakafungulie account Nje ya nchi ambapo hiyo sheria haifanyi kazi. Kisha waendelee kushare link na subscribers.Bado huko Sheria yao ya kipuuzi wameichomeka kuzibana online tv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Labda wakafungulie account Nje ya nchi ambapo hiyo sheria haifanyi kazi. Kisha waendelee kushare link na subscribers.Bado huko Sheria yao ya kipuuzi wameichomeka kuzibana online tv
😂Kwa hizi hila za serikali hii wanaweza wakazima hata mkongo wa taifa kabisa
Hatari sana
Hata wewe unatumia cha Mexence Mello mkuu.
Tafuta chako!
Tangu Mzee Reggy aondoke ITV imekuwa sio supper brand tena labda sasa ni supper vitoko..ITV wametia aibu kubwa
Eti Superbrand, Superbrand my foot
Wanaogopa kurusha maudhui halisi wanamzimia mzungumzaji sauti
Wamenibore kinyama hawa watu!
Mpaka kufika hatua ya kufanya hivyo Basi tukubali tumerudi zama za masokwe!! Na huyo aliyesababisha ataitwa malaika mkuuDuh! Labda wakafungulie account Nje ya nchi ambapo hiyo sheria haifanyi kazi. Kisha waendelee kushare link na subscribers.
Kwenye Redio One walichomoa betri alipoanza kuongea.Nimefuatilia mkutano wa ACT Live unaorushwa na ITV.
Tundu Lissu kapewa nafasi ya kuongea, kaongea kirefu, kisha akaanza kuzungumzia hali ya nchi ndani ya miaka mitano iliyopita, na nia na sababu ya kuiondoa CCM madarakani. ITV wakamzimia sauti.
Sasa najiuliza kama ITV inafanya kazi kwa maslahi ya CCM si ni bora mngejiunga kwa Humphrey Polepole naye alikuwa Live?
Hizi tabia za kipuuzi za vyombo vya habari nchini kufanya Censoring, wapinzani pindi wakiwa Live zinaudhi, na zinakatisha tamaa, na zinaonyesha kuwa hivi vyombo vya habari havijwezi.
Nimeona siku hizi ndo mchezo wa TV za online na hii ITV, yaani wapinzani wakianza kupoint out mapungufu ya serikali hii mnawazimia Sauti.
Hivi ITV na heshima zenu zote mmekuwa low kiasi hiki?
Wananchi wanakereka kwa upumbavu kama huu
Kama hamtaki kurusha Live matukio ya wapinzani basi acheni.
Leo ITV wamemzimia Sauti Tundu Lissu takriban dakika tano nzima.
Haya mambo ya ajabu sana
Hiyo ITV ni SuperblunderBrand
Hayo ni matokeo ya kuwepo kwa sheria mbovu zinazohusu vyombo vya habari.Mtoa hoja ujue kuwa mtoa habari (lissu) na msambaza habari ( itv n.k) wote wana wajibu wa kuzingatia miiko, sheria na haki za wengine.
Bila ya hivyo iwapo mzungumzaji atatoa matamshi yanayothibitika kuwa ni ya kashfa, uchochezi, uhaini au uvunjifu wa amani katika jamii, chombo hicho cha utangazaji kitakuwa hatiani kwa uvunjifu wa maadili na sheria kikifikishwa mahakamani, sanjari na aliyetamka maneno hayo.
Kwa kuchelea madhila hayo, ndio maana vyombo vya utangazaji vinachukua maamuzi magumu ya kujidhibiti vyenyewe vinapohisi dalili za kutolewa matamshi kinyume na sheria, maadili, na weledi, vikifahamu kuwa vipandishwa kizimbani hata mtoa habari hatakuwa msaada kwao. Mwanahalisi TV nayo ilijilipua vivyo hivyo.
Kwa hizi hila za serikali hii wanaweza wakazima hata mkongo wa taifa kabisa
Hatari sana
Nani anataka kufokewa namna hiyo.
Yaani device yako halafu mtu anakufokea, si unazima tu.
Ndio maana tunasema Lisu sio presidential material, abakie kuwa mwanaharakati tu.
ITV wamepewa onyo kutorusha habari za ITV.
KUNA haja ya ku-boycott ITV na TBC.
Sasa hivi kuna watangazaji kama wawili hivi nadhani wameahidiwa kupewa uteuzi mmoja ni mwanamama na mwingine ni dume.Tangu Mzee Reggy aondoke ITV imekuwa sio supper brand tena labda sasa ni supper vitoko..
ITV kweli wanatuangusha watanzania
Viongozi karibu wote wa Chadema huwa wanaongea kwa jazba Sana.Anza kujiandalia nauli ya kuikimbia nchi kwani baada ya October watanzania kumchagua mh Lissu, itabidi ukimbilie Burundi kwenu.
Duh!! Poleni,Mimi nilisha achana nao muda sawa TBC( ((M