ITV siyo sahihi kutoa sauti ya Hotuba ya Tundu Lissu katika Mkutano wa ACT-Wazalendo

Nimefuatilia mkutano wa ACT Live unaorushwa na ITV.

Tundu Lissu kapewa nafasi ya kuongea, kaongea kirefu, kisha akaanza kuzungumzia hali ya nchi ndani ya miaka mitano iliyopita, na nia na sababu ya kuiondoa CCM madarakani. ITV wakamzimia sauti.

Sasa najiuliza kama ITV inafanya kazi kwa maslahi ya CCM si ni bora mngejiunga kwa Humphrey Polepole naye alikuwa Live?

Hizi tabia za kipuuzi za vyombo vya habari nchini kufanya Censoring, wapinzani pindi wakiwa Live zinaudhi, na zinakatisha tamaa, na zinaonyesha kuwa hivi vyombo vya habari havijwezi.

Nimeona siku hizi ndo mchezo wa TV za online na hii ITV, yaani wapinzani wakianza kupoint out mapungufu ya serikali hii mnawazimia Sauti.

Hivi ITV na heshima zenu zote mmekuwa low kiasi hiki?

Wananchi wanakereka kwa upumbavu kama huu

Kama hamtaki kurusha Live matukio ya wapinzani basi acheni.

Leo ITV wamemzimia Sauti Tundu Lissu takriban dakika tano nzima.

Haya mambo ya ajabu sana
Waliumizwa 2015 baada ya kuwa fair kwa wapinzani. Kumbuka kilichowakuta marehemu Mzee Mengi na Spencer Lameck pale Lumumba mpaka walipookolewa na gari la waziri Membe. Mbaya zaidi wakapigwa faini za kutosha na kutishiwa kufungiwa kabisa
 
Raha ya maisha miliki chako usitegemee cha jirani. Kwani shiin ngapi.

Natumia arial
Hukumbuki gazeti lao limefungiwa kimkakati kuelekea uchaguzi ?!. Mnapoambiwa hakuna uhuru wa kujieleza muwe mnaelewa
 
Mwenyewe redio one fm wamekata wakaanza kurusha misiba kumbe kuna ITV duh, yale yale ya diamond na clouds
 
Nimefuatilia mkutano wa ACT Live unaorushwa na ITV.

Tundu Lissu kapewa nafasi ya kuongea, kaongea kirefu, kisha akaanza kuzungumzia hali ya nchi ndani ya miaka mitano iliyopita, na nia na sababu ya kuiondoa CCM madarakani. ITV wakamzimia sauti.

Sasa najiuliza kama ITV inafanya kazi kwa maslahi ya CCM si ni bora mngejiunga kwa Humphrey Polepole naye alikuwa Live?

Hizi tabia za kipuuzi za vyombo vya habari nchini kufanya Censoring, wapinzani pindi wakiwa Live zinaudhi, na zinakatisha tamaa, na zinaonyesha kuwa hivi vyombo vya habari havijwezi.

Nimeona siku hizi ndo mchezo wa TV za online na hii ITV, yaani wapinzani wakianza kupoint out mapungufu ya serikali hii mnawazimia Sauti.

Hivi ITV na heshima zenu zote mmekuwa low kiasi hiki?

Wananchi wanakereka kwa upumbavu kama huu

Kama hamtaki kurusha Live matukio ya wapinzani basi acheni.

Leo ITV wamemzimia Sauti Tundu Lissu takriban dakika tano nzima.

Haya mambo ya ajabu sana
Naomba kuwatetea ITV.
Kufuatia Tundu Lissu sometimes ni msema hovyo sana, hata ningekuwa mimi ndio ITV, narusha matangazo ya live, halafu Lisu ndio anaalikwa kuongea live na taifa, I would be very careful na cautious asije akaongea kitu ambacho sicho, anayewajibika sio tuu Lissu aliyetamka, bali pia ni ITV waliorusha live matangazo hayo!.

ITV au TV yoyote has all the rights to censor anything that seems its un appropriate.

P
 
Hata wao ITV hawapendi… mbona 2005-2015 walikuwa wapo live sana

Chanzo ni mabadiliko ya hali ya hewa
 
Lissu hatabiriki ule mdomo wake unatoa kitu yyte inayokuja kwenye ulimi, hata ingekua mimi ni manager wa ITV ningetoa order sauti iwe muted,siwezi kaa kizembe kesho niamke nijikute

kwenye page ya mbele ya magazeti ya Mwananchi au Nipashe kuwa kituo changu kimepigwa faini ya milioni kadhaa na kufungiwa miezi kadhaa kisa unpredicatable mouth ya rais wa Chadema.
 
Achana na hivyo vyombo vya habari vya Tanzania ndugu. Wanadhani Magu anashinda uchaguZi wa mwaka huu. Wasichojua ni kwamba Tanzania inaenda kushangaza ulimwengu mwaka huu. Fundi Antipas Lissu anaenda kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka huu na wote waliomdhiaki wataenda kumwomba msamaha

Akiwemo musiba. Mchizi atakua wa kwanza kuomba radhi 🤣
 
Hua unaangalia media za Marekani wewe ama bundle ni taabu. Jaribu kupata kifurushi cha dstv uwe unaangalia vyombo vya marekani CNN FOX NEWS MSNBC halafu rudi tuambie nini kinatokea huko. Republican hawaendi CNN na MNSBC na Democrat hawataki hata kuhojiwa na Fox News. Sasa sijui utasemaje. Hivi ni vyombo binafsi vinafuata maslahi. The Sun wakati wa Tony Blair walikua wakipendelea Labour Party alipoingia Gordon Brown wakaipiga chini Labour Party wakapigia dene conservative mpaka leo. Huo ndiyo ukweli
 
Lissu hatabiriki ule mdomo wake unatoa kitu yyte inayokuja kwenye ulimi, hata ingekua mimi ni manager wa ITV ningetoa order sauti iwe muted,siwezi kaa kizembe kesho niamke nijikute

kwenye page ya mbele ya magazeti ya Mwananchi au Nipashe kuwa kituo changu kimepigwa faini ya milioni kadhaa na kufungiwa miezi kadhaa kisa unpredicatable mouth ya rais wa Chadema.
Jiwe ndio anatabirika? mbona huwa hamumzimii?
 
Naomba kuwatetea ITV.
Kufuatia Tundu Lissu sometimes ni msema hovyo sana, hata ningekuwa mimi ndio ITV, narusha matangazo ya live, halafu Lisu ndio anaalikwa kuongea live na taifa, I would be very careful na cautious asije akaongea kitu ambacho sicho, anayewajibika sio tuu Lissu aliyetamka, bali pia ni ITV waliorusha live matangazo hayo!.

ITV au TV yoyote has all the rights to censor anything that seems its un appropriate.

P

You don't censor a person, you may censor his content.

You don't judge the presumption, you may censor an act.

Mtu hajatenda kosa ila wewe unapiga ramli kuwa atafanya kosa?

Paschal hizo sheria umezisomea wapi?
 
Kwani wewe uh mewacha lini hiyo biashara? Au ndiyo umeamua kututangazia?
Lissu Mwenyewe kakili kufanya biashara hiyo ndiyo maana hata anashindwa kutembea vizuri, yaani amefunuliwa mtaro hadi anashindwa kutembea sawa sawa halafu bado anataka kuwa Rais haiwzi kutokea Tz ikaongozwa na mtu wa kaliba hiyo.
 
Mtalaumu bure ITV hata kuonyesha wamejitahidi sana hali ya sasa ni hatarishi kwa vyombo vya habari
Hawa jamaa wanalaumu tu,as if ITV wakilipishwa faini wao ndo watatoa..hawajui hali ikoje bongo?
 
Dawa yako ni block
Lissu Mwenyewe kakili kufanya biashara hiyo ndiyo maana hata anashindwa kutembea vizuri, yaani amefunuliwa mtaro hadi anashindwa kutembea sawa sawa halafu bado anataka kuwa Rais haiwzi kutokea Tz ikaongozwa na mtu wa kaliba hiyo.
 
Achana na hivyo vyombo vya habari vya Tanzania ndugu. Wanadhani Magu anashinda uchaguZi wa mwaka huu. Wasichojua ni kwamba Tanzania inaenda kushangaza ulimwengu mwaka huu. Fundi Antipas Lissu anaenda kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka huu na wote waliomdhiaki wataenda kumwomba msamaha

Anaenda kuwa Rais wa Jamhuri ya watu wa Jf
 
Back
Top Bottom