ITV siyo sahihi kutoa sauti ya Hotuba ya Tundu Lissu katika Mkutano wa ACT-Wazalendo

ITV siyo sahihi kutoa sauti ya Hotuba ya Tundu Lissu katika Mkutano wa ACT-Wazalendo

aisee... mbona mwaka huu watakoma, maana hii ni trela tu na picha bado halijaanza
 
Haya mambo ya mamtoni mambele huko tuliyasahaugi kitambo, yani wapinzani wote ilikuwa hofu tupu, Lissu unaroho gani ya tofauti kuyasema hayo?
 
Hahaa, kumbe sio Mimi peke yangu nimeona Hili
Sema Tundu Lissu naye itabidi apunguze ukali wa speech zake maana mainstream media zote Sasa zitaogopa kumrusha
Waende tu hamna mwenye shida nao, hivyo vituo vyote vimekuwa vibaraka vya ccm kisa eti vinaogopa kunyang'anywa leseni au kupigwa fine.

Je vikiamua kukataa kutii hizi amri feki vifungiwe vyote kwani dunia itakaa kimya, nafikiri na vyenyewe vimeamua tu kujipendekeza kwa Magufuli. Bure kabisa.
 
Tangu wapotezee ili habari ya Corona aljazera basi nimeacha automatically kufatilia chochote kinachohusu IPP media kuanzia magazeti, radio na TV zao sitazami tena, Ovyo kabisa management
 
Hahaa, kumbe sio Mimi peke yangu nimeona Hili
Sema Tundu Lissu naye itabidi apunguze ukali wa speech zake maana mainstream media zote Sasa zitaogopa kumrusha
Kwan kama anakosea sheria si zipo?
Achukuliwe hatua
 
Ni kwamba hatuhitaji kumsikia, anapayuka sana. Mwambieni atulie Kama kweli anataka kuikomboa nchi hii..aongee mambo ya maana sio magomvi kila kukicha
Ila yule wa kwenu ruksa kuongea utopolo na kutukana watu
 
Back
Top Bottom