Mbona halishauri Jeshi la POLICE wasitishe mazuio ambayo ni kinyume cha Sheria badala yake anawazuia wahanga wa vitendo hivyo ndiyo wajizuie kufanya shughuli halali za kisiasa zilizopo kisheria?Huyu ni Judge wa aina gani anayeshindwa kukemea uvunjifu wa Sheria aliyoapa kuilinda?Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Jaji Francis Mutungi amesema kauli yake aliyoitoa wali katika mkutano wake na waandishi wa habari Dodoma ilipotoshwa
Amesema hajazuia mikutano ya ndani ya vyama vya siasa bali ameshauri vyama vya siasa kujizuia kufanya mikutano ya ndani kwa wakati huu ambao kumekuwa na mivutano kati ya vyama na polisi
Jaji Mutungi amekiri kuwa na mvutano baina ya Jeshi la Polisi na Vyama vya siasa vinapoazimia kufanya makongamano sual ambalo wanalitafutia ufumbuzi wa kina
View attachment 1928083
CCM imechoka na haina pumzi tena,tujiepushe nayo.A dying Horse...