Si walishapinga kuhusu hao mashahidi na wakatoa sababu zao,mahakama ikapima ikaona ushahidi wao ni relevant hivyo waitwe!Sasa swali,wanaweza kukata rufaa kwa jambo Hilo Hilo na hiyo rufaa wanakata wapi?Mi naona mawakili wa serikali wakikata rufaa kuomba hao mashahidi wasiende kizimbani, Then hako ka rufaa kanachukua muda fulani lengo ni kubay time na kwendele " kumkomoa" Lissu mana ndiyo lengo lao kuui.
Mi naona mawakili wa serikali wakikata rufaa kuomba hao mashahidi wasiende kizimbani, Then hako ka rufaa kanachukua muda fulani lengo ni kubay time na kwendele " kumkomoa" Lissu mana ndiyo lengo lao kuui.
Kama unafuatilia kesi vizuri kila mambo mabaya waliokuwa wanataja Tundu Lissu na mashahidi wake wanayofanyiwa, jeshi la polisi limetajwa sana kuhusika Sasa kwenye maswali atayowabana Tundu Lissu Kuna possibility ya Serikali ikatajwa au baadhi ya viongozi kuhusika kwenye kutoa amri kwa polisi kuhusika kutumika kwenye mambo ya kisiasa kuwakandamiza Upinzani ni kitu ambacho Tundu Lissu alikuwa anakihitaji lengo lake haikuwa Mama Samia ni hawa vyombo vya Ulinzi na Usalama alikuwa anajua kabisa Mama Samia hawezi kuja mahakamani.Mpaka mahakama imewaita means wanataka hiyo case, aisee ni bad news
Ni kweli kabisa jeshi la polisi limetajwa sana kuhusika kukandamiza upinzani kwenye ushahidi wao mwingi waliotoa mahakamani kwahiyo kwa hii nafasi wakibananishwa Kuna possibility tujionea madudu mengi ikiwemo hata kuwachoma Serikali bila wao kujua kwa maana hiyo upande wa Tundu Lissu unafaida kubwa sana kuliko SerikaliNi waongo, hii ni sad news kwao, sio kwa Lissu.
Huyu ametudisapoint wengi sana. Nilimuamini pakubwa. Imeniuma sana kumuona kuzindua bwawa. Pia ameenda kumuona kizimkazi. Gerezaji kwa TAL hawajawahi enda hata mahakamani haji. Ana chuki ya wazi kabisa na TAL
Nadhani kuweka pingamizi na sio kukata rufaa!Kukata rufaa maana yake jambo Hilo likasikilizwe na chombo Cha juu zaidi!Hata mimi nafikiri kesho watajiwahi kukata rufaa.
Dah! Nimecheka sana mpaka nimepaliwa 🤣Hawa jamaa hawatakuja mahakamani. Wakijichanganya wakubali kuaibika maana vyombo vyao vimeua watu na vina makosa mengi. Labda aje Kingai maana yeye huwa anajitoa ufahamu siku zote
Kila hoja lazima iwe na ushahidi wa kutosha kuwashawishi majaji anaweza akawa negative lakini maswali atakayopigwa na namna atakavyojibu ndio yanaweza kukupaisha au kukushushaWajuvi ninaswali
Ivi hao mashahidi wa lissu wakija wakasema, sisi kama mashahidi wako tunathibitisha kwamba wewe ni muhaini na umefanya uhaini kwa hotuba yako ile inaonesha uhaini.
Navojua ni unaleta shahidi ili akutetee na kuthibitisha kuwa hujafanya kosa, sasa ikiwa shidi wa lissu Na ndio shahidi lissu kumtetea katika negative way kuinesha kwamba ametenda kosa amekosea hapo itakuwaje upande wa lissu si hasara sana hii ??
Hapo itakuaje kusheria ???
UShahidi wa hiyo video unayosema mahakama imeukataa.Hivi unafahamu procedure za adversarial common law examination?
Hapo lissu kajimaliza mwenyewe kwa sababu KATUGA kapata watu wa kukamilisha ushahidi wake kwenye cross . Yeye kazi yake ni rahisi Sana. Ni kweli kwamba video ilihamasisha uhaini............Ndio. Wao ni ndio tuu. Lisu kwenye re examination Hana Cha kuwafanya kwa sababu nature ya maswali kwenye re examination ni tofauti na re axamination
Kabisa naona hazitoshihapa zitaongezwa tena.
hapo dawa ni DPP ainte nolle prosequi
Hawawezi kukata rufaa kwasababu hawana kinga ya kutoshitakiwaHawawezi kuacha kuja...kinachoweza kutokea ni serikali kukata rufaa, ila kuacha kwenda hawawezi.
Kumhukumu kumnyonga Lissu haitatokea kamwe.Lisu amejimaliza. Kumbuka kuwa uwanjanmpana alionao ni WA examination in chief , na kwa kuwa hawakubalianj haitakaa sawa. Katuga ana nafasi kubwa Sana kutengeneza kesi yake kupitia cross examinatio na kama lisu atajidanganya kuwa cross examine kwenye re examination atapigwa objections
Shahidi analetwa ili kuisaidia mahakama kufikia judgement ya haki. Sasa kama kiongozi mkubwa wa serikali aliye apa kuilinda katiba anatoa ushahidi unaoikanganya mahakama chombo cha haki kikatiba kufikia judgement ya haki basi hafai kuwa kiongozi wa umma, kwa sababu atakuwa anapotosha haki anayopaswa kuisimamia.Wajuvi ninaswali
Ivi hao mashahidi wa lissu wakija wakasema, sisi kama mashahidi wako tunathibitisha kwamba wewe ni muhaini na umefanya uhaini kwa hotuba yako ile inaonesha uhaini.
Navojua ni unaleta shahidi ili akutetee na kuthibitisha kuwa hujafanya kosa, sasa ikiwa shidi wa lissu Na ndio shahidi lissu kumtetea katika negative way kuinesha kwamba ametenda kosa amekosea hapo itakuwaje upande wa lissu si hasara sana hii ??
Hapo itakuaje kusheria ???
Una taaluma ya sheria au unabwabwaja tu?Hivi unafahamu procedure za adversarial common law examination?
Hapo lissu kajimaliza mwenyewe kwa sababu KATUGA kapata watu wa kukamilisha ushahidi wake kwenye cross . Yeye kazi yake ni rahisi Sana. Ni kweli kwamba video ilihamasisha uhaini............Ndio. Wao ni ndio tuu. Lisu kwenye re examination Hana Cha kuwafanya kwa sababu nature ya maswali kwenye re examination ni tofauti na re axamination
Igp na DCI waanze kukesha na PGO.Watasema wakati wa examination in chief na cross examination nani huwatuma
Jaji Dunstan Nduguru - CDF Mkunda, IGP Wambura , DCI Kingai kuitwa kutoa ushahidi kesi ya Lissu, Samia, Dk Mpango na Majaliwa hawamo..
Si mchezo kukumbana na Tundu Lissu, kujaribu kuotea hali itakuwaje tusome pale watumishi wa dola wanapokumbana defence lawyers mahiri kizimbani
N.B
WASOMAJI WA KESI INAYOENDELEA * ANGALIZO
Sawa kabisa aitwa dalali Aboubakar.Mbowe ni dalali km madalali wengine tuu, bureee kabisa yule baba.