Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

Labda Lissu wa Lumumba ndio atakuwa na strategy za kishamba kama hizi.
 
Kwa hiyo mjomba ukijibu ndio ndio, unakuwa umemaliza kila kitu?

Tutarudi kukumbusha hizi ndio ndio ndio unazosema.
 
Machawa wa Veggies mbona yanawatoka sanaa? Wao wameitwa waje kutolea ushahidi ili tujue mbivu.na mbichi.
Sasa kelele za nini?
wanaosema kwamba LISSU amejikaanga nashindwa kuwaelewa, Je Lissu mwenyewe hajajua athari za kuwaita hao? Pili, ikiwa hao watu ni potential kwa akina Katuga, ni kwanini Katuga aliwawekea pingamizi wasifike mahakamani kama mashahidi?
 
Hapo lazima Lissu akupitishe kwenye tanuri la Moto.
 
To me hii ni habari mbaya kwa lissu

Hao jamaa kama wote wataenda mahakamani then lissu haponi

Mpaka mahakama imeamua hivyo means wamekubali kwenda na wataenda

That's is sad news
Unajua hao aliotaka waje kama mashahidi ni nani? utakuwa mjinga wa kiasi gani utake aje shahidi ambaye unajua ana ushahidi wa kukwangamiza, hao watapambana na dodoso na matokeo ni kufungua jini kwenye chupa.
 
Usisahau na nyimbo za akina Diamond, Konde nazo zimo, yaani mambo ya hotuba za kisiasa zinarejerewa na mambo ya sanaa ambayo yana hati miliki!
 
Hii ni red alert kwa Ndugu zetu Maaskari. Mtatumikishwa kwenye kazi chafu lakini itapofika muda wa uwajibikaji Wanasiasa watakaa pembeni wakikuachia jumba bovu upambane leo.

Lissu anakuvua nguo vizuri tu.
HILI NAlLIANDIKA KWA HERUFI KUBWA
NI HIVI, NDANI YA MUDA MFUPI UJAO CCM NA SERIKALI YAKE WANAENDA KUTUNGA SHERIA YA KUWALINDA WASISHITAKIWE AMA KUWAJIBISHWA KWA MAKOSA WALIYOTENDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…