Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

Yaani wewe unachomaanisha ni kwamba hizi ndio tu hazitapimwa na chochote ili kujiuliza kama hii ndio ni sahihi au imetolewa bila uhalali?
 
HILI NAlLIANDIKA KWA HERUFI KUBWA
NI HIVI, NDANI YA MUDA MFUPI UJAO CCM NA SERIKALI YAKE WANAENDA KUTUNGA SHERIA YA KUWALINDA WASISHITAKIWE AMA KUWAJIBISHWA KWA MAKOSA WALIYOTENDA.
Najiuliza kwanini Usalama wa Taifa wamejiwekea kinga halafu wamewaacha wenzao wa vyombo vingine wanapambana na hali zao. Hii si ni dharau ya wazi kabisaaa?
 
Mi naona mawakili wa serikali wakikata rufaa kuomba hao mashahidi wasiende kizimbani, Then hako ka rufaa kanachukua muda fulani lengo ni kubay time na kwendele " kumkomoa" Lissu mana ndiyo lengo lao kuui.
hilo haliwezekani. Amri imeshatolewa, summons zishapelekwa! tuna siku 14 tu (zimeanzia juzi)
 
Wanasiasa wajanja sana tofauti na watumishi wa umma
 
To me hii ni habari mbaya kwa lissu

Hao jamaa kama wote wataenda mahakamani then lissu haponi

Mpaka mahakama imeamua hivyo means wamekubali kwenda na wataenda

That's is sad news
Watu wanalichukulia poa ili aisee..yaani wanafikiria kishabiki kabisa wanafikiri kua labda zile kauli za kutweza,kudharau ambazo Lissu anapenda sana kuzitumia basi ata hao wataogopa nk., TUMUOMBEE TU LISSU ARUDI URAIANI ILI MAISHA YAENDELEE.
 
CDF na IGP Lissu ana hamu nao,kwa kweli, Sasa Serikali inaanza msiba mwingine wa viongozi kuaibika mchana kweupe!
Kwahiyo shahidi asipokujibu unavyotaka basi umeshinda kesi..Hivi mnafikiri mtu kufikia DCI,IGP na CDF ni kuokotwa tu njiani. Tuwe watulivu na kumuombea Lissu kurudi uraiani.
 
Kweli,hivi unajua ata Adolf Hitler kule Ujerumani kuna watu wengi wanamuenzi? Hii tunaita 96 au 69
 
Ndugu,kipengele kipi kinasema shahidi anaweza kulazmishwa kuja kutoa ushahidi . Unasema mimi ni shahidi kwa kutumia mahakama then nakuja alafu najibu sijui...sijui nk.Kwani shahidi nafungwa kwa kusema sijui chochote?
 
Ndugu,kipengele kipi kinasema shahidi anaweza kulazmishwa kuja kutoa ushahidi . Unasema mimi ni shahidi kwa kutumia mahakama then nakuja alafu najibu sijui...sijui nk.Kwani shahidi nafungwa kwa kusema sijui chochote?
Naomba urudie tena kusoma huku ukihusianisha na tuhuma za uhaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…