Jaji Warioba: Dkt. Bashiru ajibiwe kwa hoja, hajafanya kosa lolote acheni kumshambulia

We
We ndo hujui watu, mtu ambaye ni waziri mkuu Mstaafu anakula 80percent ya mshahara wa waziri mkuu aliyeko madarakan, anahudumiwa na serikali kila kitu, Leo unasema Maisha yamempiga??ur kidding?
 

Sisi wachagga huwa hatufumanii bwashee!
Naomba Tafsiri ya hii Ndoto niliyoota siku tatu zilizopita ...Nilimwona askofu wa Kanisa mmoja huko Dar esalaam ambaye pia ni mbunge wa jimbo moja mkoani humo ...huyu askofu nilimwona akiwekwa kwenye jeneneza akiwa ndani ya suti nyeusi , mara akafungua macho akiwa humo..nilishtuka nilichofanya nikumwombea huyo ndugu Mungu amlinde....
 
Zanaki Brainiac ( Retired Judge and Former Premier Joseph Sinde Warioba ) ametoa Madini haya ya uhakika na yaliyotukuka Mimi Mzanaki Mwenzake GENTAMYCINE kwanini nimpinge au nisimkubalie Ukweli aliousema?
 
Safi. Mzee kaongea sahihi kabisa, wasiwasi wangu asije tumiwa vijana waka mkanda makofi kama alivyotumwa kijana Makonda.
 
Ni bora huyo mzee kuliko huyu mtu alieko pale juu, hakuna kitu kabisa.
 
Msukuma na Kibajaj tunataka Umeme na Maji sio kimshambulia Dr, Bashiru.
Nilitegemea Hoja ya Daktari wa filosofia ya sayansi ya siasa ingejibiwa na msomi mbobezi mwenye fikra pevu kama prof.wa Jalalani...sasa maskini Kibajaji ,sijui kibaiskeli na hii nyingine msukuma kwakweli wameonewa, ccm Mungu anawaona ...Ni sawa na suzuki kupush dump truck haiwezekani kamwe jamani ......
 
Ukimsikiliza Msukuma, Kibajaji & Kigwangallah unajikuta unapata majibu mazuri ni kwanini Tanzania bado ni masikini.
Hao uliowataja ni wajinga sana katika maisha yetu. Mimi nachukia sana ile kauli mama katoa hela ya kujenga choo mara mama tunamshukuru kasema tujambe mara tano kwa siku.
 
Nasubiri siku Maza atakapopata jukwaa kama atamshambuli ile design ya Ndugai. Hapo ndipo nitajua hizo sifa za kupiga mwingi huwa anazipokeaje moyoni.
Na mimi nasubiri hilo,nimerudi tanzania kimbea. Akipiga mipasho nirudi zangu Donbass kudenazify Neo-nazis
 
Kweli we "chinembe" yaani "kinembe kidogo", mzee ahangaike amekuwa JK!? Waziri mkuu mstaafu mpaka kesho anakula mshahara wa state ambao hata Rais hawezi kuuzuia hata kama anachukizwa. Ana shida gani!?
 
jaji warioba ametoa ya moyoni ! vijana wa ccm pamoja na machawa kama kigwangala msukuma na lusinde@ kibajaj mnalakujifunza kutoka kwa mzee huyu.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji41]
Your browser is not able to display this video.
 
Unachekesha kweli. Mtu anahudumiwa na serikali yako kama waziri mkuu mstaafu unasema amepigika.
Na nani alikuambia Nyerere alikua anashaurika? Kile kizee kilijifanya much know kwa kila kitu na ndiye aliyetufikisha hapa kuwa taifa la ovyo na watu wa ovyo.
 
Hata mpumbavu akiongea hoja yenye mashiko naye ana haki ya kujibiwa kwa hoja. Bashiru ni walewale wa kila zama na yake, lakini ana hoja mezani ajibiwe kwa hoja. Tatizo la nchi yetu ni kukosa uwerevu, sisi ni upayukaji, visasi na uchawa ndio mambo tunaypa kipaumbele na kuyamudu.
Ukimtoa Mzee Warioba na Salim Ahmed, wazee waliobakia wa CCM ni wapumbavu waliotufikisha hapa tulipo.
 
Reactions: Ame
Ak

Yule alikuwa waziri Mkuu mstaafu kwa hivyo anakula mpaka kuondoka kwake.
Napia ni Judge Mkuu mstaafu so sidhani kama mzee ana njaa hata kidogo kama wanavyotaka kutuaminisha. Binafsi, sina neno na maneno ya mzee wetu, nina concern moja kwake, nayo ni kama "he walks his talk"....Pale alipo sasa je ameweza kuweka misingi hiyo ya uwazi na demokrasia kama anavyoeleza kwenye utaifa kuhusu katiba? Mbona kuna mengi tu ambayo hayako sawa? Je yeye nikuwa hajui kinachoendelea au yuko miss informed? Nimetupa tu jiwe gizani, wenye akili na waliokaribu naye watanielewa.

Unapoona watu ambao unawategemea kama hawa hawana cha ku show case kama unavyotegemea badala yake yale anayolalamikia wengine na pengine ndiyo yapo pale alipo yeye mfanya maamuzi unabaki kusema, Mungu mwenyewe ndiye atusaidie, because we are the children of the same father and mother, nafasi tu ndizo zinatutofauti!

Nikiri kuwa nawaheshimu sana sana wazee wetu ila tumefika hapa kwaajili yao na pengine ni vigumu kuona hilo hata sasa, wanalo jukumu la kukubali kusikia kutoka kwa wengine hata wao binafsi...I wish I could get chance to talk to im and vent my concern over their generation...
 
Umesema niliyonayo moyoni, isipokuwa tusi hilo la kuwa ni wapumbavu mimi siwezi litukana kwa wazee wenye heshima zao kama hao...Na mimi namlaumu hata mzee wetu kwakua bado nilipokuwa naye haonyeshi kwamba labda ni watofauti kimatendo lakini sina uhakika labda ni hajui kwamba alipo na yeye mambo ni yale yale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…