Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Utashindaje na watu km akina Zitto, Mkandala, Sheikh wa Dar, Mutungi, Mahera... wakiendesha mchezo? Nchi ya makuwadi wa njaa na matumbo hii. Ni kazi sana kupata mabadiliko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja ya mh.Jaji Warioba kuwa :-Jaji Warioba akichangia kwenye mkutano wa TCD leo Dodoma, amenena haya
Miaka yote watu wanaelewa na wanajaza fomu vizuri lakini Mwaka 2020, ghafla watu hawajui kujaza fomu (wanaenguliwa). Hapa lazima kuna namna
Msitazame Wajumbe wa Tume pekee, angalieni Mfumo mzima wa Uchaguzi. Wizi wa kura unaanzia mbali. Unaanzia kwenye Kuandikisha wapiga kura, wakati wa kupiga kura na kutangaza matokeo
Siasa inataka kuingia kwenye dini, zamani viongozi tulikuwa tunakwenda kwenye vyumba vya ibada kama waumini, unasikiliza neno la Mungu. Siku hizi viongozi wakienda wanaombwa kutoa salamu za kisiasa, hii inaweza iingiza siasa katika dini tukapata matatizo
Vyama vingi vimekuwa kama makabila, vinaanza kugawa wananchi. Wananchi walikuwa kama jumuiya lakini siku hizi mambo mengi ya kijamii tunaingiza siasa, mfano msiba ni wa jamii lakini baadhi ya misiba unakuta sare za vyama,"
Katika vyama jumuiya zetu nazo zinakuwa kama za uhasama, badala ya kutuleta pamoja. Hali tuliyo nayo sasa utamaduni umetikiswa kidogo na tunapozungumzia maridhiano, nia yake kuturudisha kwenye utamaduni tuliokuwa nao
Viongozi wa kisiasa wangehubiri amani kama walivyofanya viongozi wa dini miaka michache iliyopita, nchi isingekuwa na malalamiko yanayolalamikiwa hivi sasa “kama wangetenda kama viongozi wa dini, nadhani matatizo haya tunayozungumza tusingekuwa nayo.
Alimwambia yaani mimi nikupe gari la kutembelea,mafuta nikujazie halafu umpitishe mpinzaniTatizo halikuwa Mahera, lilikuwa aliyemteua Mahaera
Mahakama ipi waende wakati mwendazake takataka zote hizo alizitia mfukoni na kafunga na zipuKwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Umerudi kule kule. Mahakamani gani,inayoweza kuamua haki?. Hii hii ya Tz?Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Sio hiyo ya mwaka 2020. Mahakama za Tz serikali ikitia mkono tu tayari imetepeta. Hakuna wenye msimamo kule. Mahakama utazikuta kenya,zina uwezo wa kupingana na serikali kabisa. Wana uwezo kufuta uchaguzi. Wana maamuzi ya kumkamata al-Bashir wa Sudan il-hali serikali haitakiMahakama mwaka 2020 ilishikwa akili na "You know who"
Si dikteta wenu hayupo?Kwa tume ya kina chaijaba Mahera nani ashiriki ushenzi huo?
Kwanini hawakuenda mahakamani?
Kubaki unalialia umeonewa wakati hakuna kesi hata moja mahakamani ya kupinga uchaguzi ni upuuzi na kupoteza muda.
Angonga Heinken Baridi na anapenda Tak...kubwaAnaonekana mlevi hata kwenye picha official ya kazini!!
VieitiiAlimwambia yaani mimi nikupe gari la kutembelea,mafuta nikujazie halafu umpitishe mpinzani
Kipindi Cha Kinana CCM waliiba kura ila kwa aligorithm yaani Gap iwe 60-40% kuanzia Kata hadi Urais. Ila kwa JPM aisee hakuna Cha formula yeye alizoa kila kitu kuanzia vijiji hadi Urais 84%+
Angonga Heinken Baridi na anapenda Tak...kubwa
Alikuwa anaogopa kivuli chake mwenyewe, huwa wanasema mara nyingi mtu/kiumbe anayefoka sana na kujitutumua mbele ya kadamnasi mara nyingi huwa hajiamini na ni muoga namba moja! Ref. Nyoka Koboko, ni nyoka anayeongoza kwa uoga na ndiyo maana ishu ndogo tu anaattack, huwa hana kufikiri mara 2, hajui hata kutunza sumu yake kwa matumizi muhimu ya baadaye (Kusaka chakula)Ila lizee lilikuwa na Roho mbaya sana, Limetesa na hata kuwauwa vijana wa watu waliokuwa TISS kwa kushukiwa tu walikuwa wanampinga
Kipindi Cha Kinana CCM waliiba kura ila kwa aligorithm yaani Gap iwe 60-40% kuanzia Kata hadi Urais. Ila kwa JPM aisee hakuna Cha formula yeye alizoa kila kitu kuanzia vijiji hadi Urais 90%+Uchaguzi mkuu 2015 Kinana alikuwa katibu mkuu ccm. Demokrasia na haki vilikuwepo wakati huo?!
Hahaha, jamaa alitia fora Chief, CDM kupata mbunge 1 nchi nzima!! Ule wizi utakuwa ulisimamiwa na wahuni akina Bashite/MusibaKipindi Cha Kinana CCM waliiba kura ila kwa aligorithm yaani Gap iwe 60-40% kuanzia Kata hadi Urais. Ila kwa JPM aisee hakuna Cha formula yeye alizoa kila kitu kuanzia vijiji hadi Urais 84%+
Yaani mpaka Pemba eti CCM ilishinda majimbo karibu yote!! Seriously?
Kwa hiyo Magufuri na Mahera ndiyo walikuwa wataalam wa kujaza fomu vizuri??Hoja mufilisi hii. Wewe ni mahaba niue tu. Ina maana wapinzani tu ndio walikuwa vilaza wa kujaza fomu?