Jakaya Kikwete aliwezaje kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja?

Hii reply JF waifanyie mpango kila ukilog in Jf unakutana nayo hii kwanza unaisoma alafu ndio uendelee na mambo yako mengine.
 
Ikikupendeza mkuu naomba nitumie hii komenti yako katika bandiko hili.

Nasubiri jibu mkuu
 
Mzee alikuwa anaenda ns mpango kazi sasa huyu huwa akifika eneo akilalamikiwa jambo hapo hapo aanzisha mpango kazi mpyaa
 
Mambo ya binadamu na jpm akiondoka tusikia nyuzi kibao za kusifu jitihada zake
 
Tueleze tofauti ya tija ya wakati hayo yanafanyika na sasa mnapojaribu kutuaminisha hayafanyiki! JK aliacha uchumi ukikua kwa kasi ya 6% hadi 7% na kuna mwaka ilifika 8%! Je, hivi sasa ukuaji wa uchumi upo vipi wakati tukifahamu fika hata miradi mikubwa inayofanyika ni ya kurithi.
 
Yule kazi ya urais aliiweza, kuifurahia na haikuwa mzigo kwake

Huyu mwingine mchato kila siku si mwasikia aropoka na kudai kazi hii ni nzito na hata hafurahi kabisa kazi hii so tuendelee kuvumilia tu kwa sababu ya ujinga wetu na uoga wetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si tuliambiwa huyu wa sasa yuko bize ananyoosha nchi kwanza na kuongeza vitega uchumi ndipo baadae ajira na mishahara viwe maradufu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
JK alikuwa dhaifu kweli ila sasa hivi kuna takataka kabisa ambayo hata sujui imefikaje fikaje hapo. Urais wa asante Mkapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lkn pia neno UFISADI lilikua maarufu sana enz hizo ........

Pia uchumi ulishuka sana
Uchumi ulishuka?! Hivi umeshawahi kuangalia takwimu za ukuaji uchumi Tanzania wewe?! Enzi zile uchumi ulikuwa unakua kwa kati ya 6% hadi 7%, na kuna mwaka ulikuwa kwa 8%!! Awamu hii uchumi unakua kwa kati ya 5% hadi 6% na mwaka huu WB wanatuambia utakua kwa less than 5%!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
JK Alipata kunena haya "sawa mimi ni dhaifu, hamjui anayefuta atakuaje, mtanikumbuka"
...........
Miss u JK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…