GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndiyo maana hata Rais Kagame wa Rwanda alimdharau na mpaka leo bado anamdharau ila nashangaa kuna Mizuzu unamsikia Kutwa na Minafiki.Kikwete, sio muungwana hata kidogo. Kama angekuwa muungwana asingewapiga na kuwanyanganya watu wa mtwara, gase Yao. Labda haumjui huyu jamaa:
Jiwe alikua ni Jiwe ,,,kanda ya ziwa haijawahi kutoa rais kimeoIla sijui ni kwanini wa Hayati Magufuli alikuwa anaongea Kiuwoga, Kimaumivu ya Moyo na alikuwa Akijishtukia mno.
Hawamjui huyu jamaa kuwa ndio kailostisha bongo. Kila mradi anautaka. Motto wake wazir,na mbunge, mke mbunge. Kuna mengi sana ambayo sio mazuri ya huyu jamaa.Ndiyo maana hata Rais Kagame wa Rwanda alimdharau na mpaka leo bado anamdharau ila nashangaa kuna Mizuzu unamsikia Kutwa na Minafiki.
Kuna busta wasipokua nazo jamaa wa upande wa bahari hawajiamini kabisa, ukidhibiti vidude anavyotupiwa Mayele na yanga wengi weupe confidence 0Ndiyo maana hata Rais Kagame wa Rwanda alimdharau na mpaka leo bado anamdharau ila nashangaa kuna Mizuzu unamsikia Kutwa na Minafiki.
Huenda kifo alichomaanisha makamba si kifo cha mwili bali utawala. Makamba Jr, Mwinyi Jr,Ridhiwani wote hawa ni watawala wajao.
Yaani nchi eti imebaki na Jakaya kama rais mstaafu wa kutushauri.....Chato gang, mnasemaje
Kwa nchi zenye Watu Makini na Werevu huyu hivi sasa angekuwa Jela anataabika tu.Hawamjui huyu jamaa kuwa ndio kailostisha bongo. Kila mradi anautaka. Motto wake wazir,na mbunge, mke mbunge. Kuna mengi sana ambayo sio mazuri ya huyu jamaa.
Kumbe ukiwa kijijini kutoboa ni kazi snRais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko Mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari
Jakaya Kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa katibu wa kawaida wa CCM wilaya ya Masasi huko Mtwara mara baada ya kutoka jeshini miaka hiyo ya 1980's
Kwa mujibu wa Jakaya Kikwete: Rais Mwinyi kwa maono yake ndiye aliyeamua kumtoa huko kijijini Masasi na kumpa ubunge wa viti maalum na baadae kumteua kuwa Naibu Waziri
Jakaya kikwete amesisitiza kwa yeye ni msiba mzito sana kwani amepoteza mtu muhimu kwenye maisha yake aliyamfikisha mpaka hapa alipo kwa sasa
Baada ya maneno hayo ya kukiri kutolewa kijijini Masasi na kuingizwa kwenye mfumo na hayati Rais Mwinyi, Jakaya Kikwete hakutaka kuulizwa maswali mengine toka kwa waandishi wa habari kutokana na majonzi aliyokuwa nayo
Hapo kwenye kuwa bright nakataa kwani 99% ya aliosoma nao hasa Chuo Kikuu wanasema alikuwa Mchovu kama akina Fred Michael na Papa Job wa Simba SC.
Ushawahi kukamatwa ukitoka kuiba nyama jikoni ulipokuwa mtoto??
Hata bila ya kuwa na ithibati ya nyama uliyoiba ongea yako tu ilikuwa inafanya bi. mkubwa ajue kuwa umeiba nyama.
Halkadhalika na Bw. Mkubwa, nafsi ilikuwa inamsuta hata kama ulimwengu haukuwa ni ithibati yeyote dhidi yake.
GENTAMYCINE nikikutana na Intelligent JamiiForums Members kama Wewe huwa nasikia Furaha mno kwani Mijuha ( Lumpens ) ndiyo Imetamalaki Kutwa hapa.
Ndiyo maana hata Rais Kagame wa Rwanda alimdharau na mpaka leo bado anamdharau ila nashangaa kuna Mizuzu unamsikia Kutwa na Minafiki.
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza......lala tu bwana mdogo.Jiwe alikua ni Jiwe ,,,kanda ya ziwa haijawahi kutoa rais kimeo
Haters wa JK kazi mnayo; mtamzushia na mtasema kila kitu ila jamaa, kwa uwezo wa Mungu, mtamuona anadunda tu mamamamamamae zenu.Hawamjui huyu jamaa kuwa ndio kailostisha bongo. Kila mradi anautaka. Motto wake wazir,na mbunge, mke mbunge. Kuna mengi sana ambayo sio mazuri ya huyu jamaa.
Mwinyi sidhani kama angeweza msingizia kikwete maneno ya namna hiyo..... Sidhani.Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko Mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari
Jakaya Kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa katibu wa kawaida wa CCM wilaya ya Masasi huko Mtwara mara baada ya kutoka jeshini miaka hiyo ya 1980's
Kwa mujibu wa Jakaya Kikwete: Rais Mwinyi kwa maono yake ndiye aliyeamua kumtoa huko kijijini Masasi na kumpa ubunge wa viti maalum na baadae kumteua kuwa Naibu Waziri
Jakaya kikwete amesisitiza kwa yeye ni msiba mzito sana kwani amepoteza mtu muhimu kwenye maisha yake aliyamfikisha mpaka hapa alipo kwa sasa
Baada ya maneno hayo ya kukiri kutolewa kijijini Masasi na kuingizwa kwenye mfumo na hayati Rais Mwinyi, Jakaya Kikwete hakutaka kuulizwa maswali mengine toka kwa waandishi wa habari kutokana na majonzi aliyokuwa nayo
Cc Mkaruka mzee wa kuogopa ban!And yes he was young and bright and he made it! Mkaruka
Uteuzi aliupata akiwa Masasi. Alihamia Masasi kutokea Nachingwea. So habari ni sahihi kwamba wakati anateuliwa kuwa mbunge alikua katibu wa CCM wilaya ya Masasi.Nachingwea Lindi na wala sio Masasi Mtwara! Huko Nachingwea ndiyo alikokutana na Salma Rashid!
Hakumtoa Nachingwea, alimteua akiwa katibu wa ccm wilaya ya Masasi. Ifatilie hata hotuba ya JK kwenye mazishi ya mkapa pale Lupaso utasikia mwenye akisimulia hilo.Mzee Mwinyi, sasa unajisikiaje kumtoa Kikwete kutoka Lindi na kumpa uwaziri na sasa ni Rais?
Kama sikosei,Raisi Kikwete aliwahi kutoa maelezo kuwa ni aliekuwa Raisi wa Tanzania kwa wakati huo,mzee Mwinyi,ndie aliemteua kuwa mbunge na baadae kumpa uwaziri katika serikali ya awamu ya pili. Katika maelezo yake Rais Kikwete alisema wakati anateuliwa alikuwa kiongozi wa chama cha mapinduzi...www.jamiiforums.com
Mzee Mwinyi, sasa unajisikiaje kumtoa Kikwete kutoka Lindi na kumpa uwaziri na sasa ni Rais?
Ni kweli aliwahi kiwa katibu wa ccm Nachingwea. Na ni kweli ni Nachingwea ambako alikutana na mama Salma. Lakini alihamishwa Nachingwea na kuhamia Masasi. Na uteuzi aliupata akiwa Masasi mkuu. JK hajakosea hapo.JK anazeeka vibaya yeye alikuwa katibu wa ccm wilaya ya nachingwea na sio masasi na ndiko alikutana na salma wakati akisoma chuo cha ualimu ttc
Hamna haja ya kutukanana. JK amefanya kazi Masasi ambako alihamia kutokea Nachingwea. Na aliteuliwa kuwa mbunge akiwa katibu wa CCM wa wilaya ua Masasi mbona hilo liko wazi mkuu!!Utakua ulizaliwa pre mature kabla ya siku zako! Kikwete hajawahi fanya kazi Masasi! Niambie ni mwaka gani kafanya kazi Masasi??
Kikwete kafanya kazi Lindi Nachingwea! Uncircumcised baboon kabisa wewe!
Some have nothing to lose and others have more and more to lose !!*Tumebaki wote countdown inaendelea
Kazi kweli kweli !!Mpaka Nyerere anastaafu urais 1985 Kikwete was a nobody kwenye chama au serikali.
Tulikuwa tunawajua kina Salim, Makweta, Makinda, Mkapa, Chiduo, Machunda etc. Nje ya waliosoma naye na kufuatilia DARUSO na habari za siasa za chama waliofuatilia makamisaa wa chama jeshini, not only Nyerere, but also the general public did not know Kikwete.
Kikwete kaanza kujulikana kwenye siasa za kitaifa wakati wa Mwinyi.
Kipindi cha Nyerere mimi nilikuwa na kidaftari, nilikuwa naandika mawaziri na manaibu waziri wote, nilikuwa natatizwa sana na wazo la kwamba Nyerere akifa katika hawa waliobaki wote hakuna Nyerere mwingine. Nikasema tukiwa wakubwa viongozi watakuwa dhaifu sana. Hapo mtoto wa darasa la nne.
Na utabiri wangu umetimia.