Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

Wakati wa kampeni ya urais 2015 Kinana,Bulembo,Nape na Makamba ndiyo wamezunguka nchi nzima kumpigia kampeni Magu lakini alivyopata urais baadaye aliwageuka mbona hamsemi mnamsimanga JK tu! Acheni unafiki jitu likiwa jizi huwezi tu kulilinda kisa eti ni rafiki yako.
 
Mkuu, nakuapia, hii inayomsema Kikwete ndo MINAFIKI kupitiliza. Ilimtukana Lowassa baadae ikajichekesha kwa kumpamba kwa kila namna ili ile hela zake. Sasa inahangaika na frustrations zao kwa kumsema na kumzushia Kikwete.
 
Uneongea vema sana.
 
Sababu sisi tulitka awageuke.......
Tulifurahi alivyowageuka wezi.
Na wala hakuwahi kuwa mnafki, Tatizo hapa ni unafki.
 
Ilikuwa na ulazima wowote?!!!!!

Mbona wakati wa Mkapa alizungumzia alivyokwenda kumuona alikuwa na hali gani .... Mara nyingi watu huwa wanapenda kuzungumzia yale walioongea kabla ya kufa. Ukiona anaongelea historia ujue hawajaongea siku nyingi ... ukichukulia kuwa Marehemu ameumwa kitambo.... HINT!!
 
Umemaliza kila kitu. Wanasiasa hawakutani mbele ya kamera tu. Wana maisha yao halisi na hatujui katika maisha halisi iwapo walikuwa wakizungumza na walizungumza nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…