Jakaya Kikwete: Lowassa alipopata changamoto na kukaa pembeni, tuliendelea kuwa Marafiki

Mkuu naona kama mnajipa tabu na msongo wa mawazo usioisha huku mwenzenu Kikwete akibaki anatabasamu tu kila siku.
 
Umemaliza kila kitu. Wanasiasa hawakutani mbele ya kamera tu. Wana maisha yao halisi na hatujui katika maisha halisi iwapo walikuwa wakizungumza na walizungumza nini.
Kabisa mkuu, nafurahi kuona akili huru namna hii. Maana kwa sasa akili hizi zimebak8 chache sana....inaweza kuwa 2:100. Ukipitia comments za watu humu ndo unajua ni kwa namna gani taifa hili linahitaji elimu aisee; kiukweli watu ni wajinga wajinga tuuuu!
 
Kwani Magu alipata kura ngapi baada ya Kampeni?
 
ila kwenye richmond lowasa alijua alikuwa na mapungufu. au walizungukana kwenye mpunga?
Hebu tuwe wakweli. Kosa la EL lilikuwa kujisahau akiwa Waziri Mkuu. Alijiona kuwa Urais wa JK ana ubia nao. Hapo JK akatafuta njia jinsi ya kumweka kando. Richmond ikawa ndiyo upenyo. Sawa na moyo wa jamaa ulivyotumika kumuondoa JK katika dhahama ya Jamaa. Nimemaliza
 

[Chorus]
Lord have mercy, Jesus Christ
He's just nice, he just slice like a Ginsu
Look at the life that I've been through
I'm the last real nigga alive, that's official
Lord have mercy, Jesus Christ
He's just nice, he just slice like a Ginsu
Look at the life that I've been through (uhh)
I'm the last real nigga alive, that's official

- Nas "Last Real Nigga Alive".
 
Mkuu wengine ni malsahi tu wapate vipesa vya views, Wanataka kusikia habari za uadui ili wapate vya kupost kwenye mapage yao na fake id za youtube huko. Wanajua wanachofanya.
 
Huyu mnafiki kwenye msiba wa JPM alisema Yale majina matano yalikuwa yake kwa maana yeye ndo aliyemkata lowasa
 
Yes, why not. Kwa nini anarudiarudia story za zamani tena ya before 2015... juzi kahojiwa kaongea hayo hayo anayoyasema leo!! kama ni marafiki si atuambie na mambo ya karibuni.
Kama mambo ya 2015 yasingetokea ungehoji iwapo ni marafiki?
 
 
Sana, sana. Tena mnooo.
 
Ilikuwa na ulazima wowote?!!!!!
Mjniga nini wewe,hivi rafiki yako ataugua usiende kumjulia hali,useme hakuna ulazima?
Acha ujinga,yaani unaona ni sawa rafiki kufika msibani mwenzake akiwa amefariki ila kipindi cha ugonjwa asifike?
Acha ujinga.Kumbuka Benjamin Mkapa aliugua tena muda mfupi kuliko alivyougua ENL lakini JK alifika kumjulia hali mara kadhaa,kwanini isiwe hivyo kwa kwa rafiki ambaye hawakukutana barabarani?
Siyo kwamba kwasababu unatumia ID feki,unajitoa ufahamu sijui kisa UCHAWA au sijui nini?
Acha hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…