Mzee wa vijembeLEO Desemba 05, 2021
NILIFUNDISHWA Kuishi na VIONGOZI Wenzangu, UPENDO Ndio KILA KITU"
LEO Desemba 05, Rais mstaafu wa awamu wa Nne, Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa serikali wameshiriki katika kumbukumbu ya kifo cha baba mzazi wa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, Hayati Brigedia Moses Nnauye..
Kwa kosa lipi?na je unao ushahidi kwa hayo usemayo?acheni kufata mkumbo kumshutumu jakaya bila ushahidiHuyu Mzee hii nchi ngekuwa ni China, sijui kama leo angekuwepo
Hebu toa ushahidi kwa hizo shutumaHata angekuwa bondeni kwa Mandela, angepata kashi kashi sana kwa hujuma aliyoifanyia nchi hii!! Enzi ya Magufuli HOME SHOPPING CENTRE [ GSM] uliwasikia? Huoni ajabu leo wameanza jeuri yao?
JKNMkuu hebu niambie nani ambae hakuiba wakati akiwa Raisi??
wakati huo shujaa mwendazake alikua anafanya kazi kiwanda cha nyanza Kama mkemia . wakati wenzie wanasota huko jeshini. Cha ajabu alipopewa madaraka akaanza kuvimba.Kumbe walikua wazito aisee
Tulia sindano imimine dawa ya kukuponyesha.Kwann mwaka huu? Mbona sijawahi kuisikia kumbukumbu hii?
ongezea na hii .Hilo ni genge la mafisadi na wahujumu uchumi.
Wazee wa madawa ya kulevya na meno ya tembo.
Twiga shipping Enterprise.
Sasa hivi wanaishije au jeuri wanaioneshea wapiGSM waliishi kwa adabu sana ujinga waliacha kabisa[emoji28]
... thanks Kongozi.Hapo kwa Nnauye kuongoza Kamati (siyo tume) ya ukombozi umechapia,hiyo iliongozwa na Major (wakati huo) Hashim Mbita.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kuna tofauti ya MB,TB, na bits kwenye masuala ya computer. Kwa hiyo huyo jamaa mtafutie group lakeSi uliwahi kusema ume mmiss
nyerere hakuiba chochote, mwinyi na wendazake waliiba bt kikwete na mkapa waliiba na waliuza kabisa raslimali za taifa kwa maslahi yao binafsi.Mkuu hebu niambie nani ambae hakuiba wakati akiwa Raisi??
Enzi za Magu walitamba hata kuimiliki timu ya Wananchi,Hata angekuwa bondeni kwa Mandela, angepata kashi kashi sana kwa hujuma aliyoifanyia nchi hii!! Enzi ya Magufuli HOME SHOPPING CENTRE [ GSM] uliwasikia? Huoni ajabu leo wameanza jeuri yao?
Bado hawajaonesha makali kipindi kile walihodhi sehemu ya bandari ikawa kama yao😅Sasa hivi wanaishije au jeuri wanaioneshea wapi
ufisadi awamu ya 5 ulikwua mkubwa kuliko awamu zote, kilichofanikiwa ni kutisha na kuua watu wasiseme pamoja kuminya vyombo vya habari.Ni kama panya wamerudi kutawala baada ya paka kuondoka
Kipindi cha chuma hayakuwepo hayo
hakuna alichoacha zaidi ya majuto na maumivinyerere hakuiba chochote, mwinyi na wendazake waliiba bt kikwete na mkapa waliiba na waliuza kabisa raslimali za taifa kwa maslahi yao binafsi.
mnaumia sana.huyu mzee aombe ccm iende kutawala milele la sivyo kuna siku atasimama nyuma ya nondo
katiba ikibadilika kinga zinaweza kuodolewa.Katiba itamlinda.
Ukijumlisha kashfa zote za ufisadi kuanzia kipindi cha Mkapa, Richmond, Kagoda, ununuzi wa Rada, Meremeta n.kHuyu Mzee hii nchi ngekuwa ni China, sijui kama leo angekuwepo
mkuu wote ni wale wale, mwendazake alikua katili, roho mbaya na nk... bt jakaya anakuchekea ila anauza raslimali za nchi na kuwatetea mafisadi liveMwendazako ndio the worst wa wote he left no legacu zaidi ya majuto na maumivi isipokuwa kwa kundi lake maarufu kama sukuma gang, bila shaka utakuwa mmoja wa wanufaika hilo genge
Chuma alileta uhasama katka nchi na kamwe tusirudie kuongozwa na sheitwani Kama like. E mungu lionee huruma taifa letu tusirudie huko tulikotoka, visasi, mauaji, vinyongko, ukabila n.k ndo vilitawalaNi kama panya wamerudi kutawala baada ya paka kuondoka
Kipindi cha chuma hayakuwepo hayo