Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

JK anatakiwa apumzike tu Kwa Amani.
Hamumjui huyu Mzee, wa mzaha mzaha tu lakini uko mbere utajua Hujui.
Na mbona ana kazi zake kubwa tu kimatataifa zipo.
Ila huku sasa na hii nembo yetu shida tu.
 
Hatari sana hawa watu
 
NIMEMKUMBUKA songea wale JAMAA walio kamatwa KISA kufanya sherehe jpm ALIPO tutoka ilaanza ka utani WATU wakakushia SASA tuelekeako SIJUI TU



Kwishaaaaaa
 

hakuna cha mengi yoyote aliyofanya, sema kikubwa alichokifanya ni kwamba alijua kula na "upinzani" na ndiyo utaona huo unaoitwa upinzani tanzagiza linapokuja swala la raisi kikwete inakuwa ishu complicated (sana) kuna limit how far they (upinzani) will go kumnanga raisi kikwete, kuna sababu kwa nini mbowe &co. leo hii wako ccm aliko raisi kikwete, hivyo hakuwa mwana demokrasia zaidi ya wengine bali aliwashirikisha kwenye kutafuna mema ya nchi, walikuwa sehemu ya mtandao na ndiyo maana mpaka leo hii wamegawanyika.

kwa kifupi raisi kikwete alijenga controlled opposition ...
 
Kati ya vitu Mzee wa Msoga hawezi kuacha/kusikia/kuelewa, basi ni hiyo ishu ya kuachana na mambo ya siasa na pia kusafiri kwenda Ulaya na Marekani.
Mtu aliyefundisha siasa jeshini,mwanasiasa tangu ujana wake,rais na mwenyekiti mstaafu wa CCM,aache siasa!!?..siasa siyo kandanda
 
Kati ya vitu Mzee wa Msoga hawezi kuacha/kusikia/kuelewa, basi ni hiyo ishu ya kuachana na mambo ya siasa na pia kusafiri kwenda Ulaya na Marekani.
Yaan lizee lilafi sana yaan!!! Na linafki hatari!!!
 
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Huyu Mzee wa Msoga ni Snitch kweli kweli Anatakiwa Ajifunze kupitia Kwa Job ndugai/ Malipo hapa hapa Duniani
 
Vipi kama hatokufa?
 

Generational wealth is a huge advantage but in my opinion only if it is legally attained. Kama familia ina hela nyingi na si halali then ni familia ya kimafioso -- its bizarre -- kama mtu aliyeishi nchi tofauti -- ninashangaaga navyoona watu wanavyotetemekea familia zenye allegations za ufisadi hapa Tanzania -- itakuwa ni mambo ya nchi zetu za kiafrika/ maskini. Out there it is very very different. There are rooms you will never enter without legitimacy. Jinsi wanavyolea watoto wao, the expectations/ maadili wanayofundishwa/ how one carries themselves -- we are world's apart.
 
Upinzani aliubeba vipi,wakati aliiba kura?. Kuacha upinzani uwepo ni sheria ni haki sio kubebwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…