Nchi Ina wenyewe, mkae kwa kutulia....hata akija kufa Jk still deep state bado ipo na Cheni ndefuu. Nasikia imejulikana kuna watu wa dini fulani wanataka leta riot katika country... Stop Kuwa na chuki na mamlaka mtaumia wakuu, tutii mamlaka halaliUmeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Jk ni mtu mwema,, jiwe was a 😈Mwambie Karma is bitch
what goes around comes around.
Jk nyupi?Jk ni mtu mwema,, jiwe was a 😈
Ridhwani Rais 2030 au tunampa Abdul... Or January makambaJk ndo anayeongoza kufaidi mema ya nchi hii, mke wake mbunge, mtoto wake mbunge.Anakula mikodi ya nchi hii mpaka mwisho wa uhai wake..
Kikwete mzee wa taifaJk nyupi?
Julius kambarage au Jakaya kikwete
Ok atalipwaKikwete mzee wa taifa
Mpaka nature iamue 😄Ok atalipwa
Na kwa kuwa umemtamkia hili, mwaka huu hatoboiUmeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
soon atalipwajk ndiyo godfather aliyebaki
Mpaka nature iamue 😄
Zaidi ya hapo hamna namna
Ova
Unaushetani mwingi Sana ww nadhani ww ndo jamii wa wanawake ambao huwa tunasikia wameua waume zaoNimekaa pale
Ataacha baada ya mwanae kuwa rais wa hii nchi. Ndicho anachokitengeneza sasa kupitia mama wa kizanzibar. Itafikia muda atachekwa na kudhihakiwa kila sehemu kwa tamaa ya kuufanya ukoo wake uwe wa kisultani katika koti la kidemokrasia nchini.Kati ya vitu Mzee wa Msoga hawezi kuacha/kusikia/kuelewa, basi ni hiyo ishu ya kuachana na mambo ya siasa na pia kusafiri kwenda Ulaya na Marekani.
Naunga mkono hoja
Kwangu mimi JK alikuwa rais mwenye nafuu sana, alijitahidi kuvumilia bunge huru, mahakama haikuchezewa kivile, vyombo vya habari vilikuwa na uhuru, matendo ya utekaji yalikuwa ni negligible, alijenga mabarabara mengi, shule nyingi za kata, udahili wa wanafunzi vyuo vikuu uliongezeka, ajira nyingi sana kila siku, internationally tulikuwa influential ktk siasa za Africa. Ofcourse na mapungufu yalikuwepo.
Lakini Pamoja na hayo sasa ni muda muafaka wa yeye kutambua kuwa Rais wa sasa hakubaliki, na yeye kudhani kuwa anaweza kumpigania rais huyu ili kumsaidia "angalau" aweze kuvuka muda wake salama anakuwa anajiharibia legacy yake mwenyewe, wananchi wanakuwa wanamchukia na yeye pia.
Kuna wafanyao Siasa na Wafanyao biashara. Ni vema kuwajua ili kuamua ushauri wa kuwapa, isije kuwa unamshauri MTU kuharibu biadhara yake.Umeifanyia mengi nchi hii
Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa
Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia
Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia
Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika
Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
Kwani wewe uliyafurahia Babu SEYA aliyo kuwa anawafanyia wanafunzi??Hata yeye itakuwa hivyo hapo watu hawajasahau alivyo mfanyia Babu Seya
Huyo mweu awezi kamwe kufanya hivyoUmeifanyia mengi nchi hii