Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

Kibasikeli*2 pugu kariakoo 🎶

Papalala*2 papa palilimpampaa..
Piiipiii*2

Mjuukuu: Babu kanshika ziwa.!

Babu: kwenda huko hilo ziwa chuchu

Wazee wa mwambao hawajawahi zeeka, nimejikuta nakumbuka mchezo wa Fakii
 
Pepo nchafu aliyemuingia msoga hafai kabisa
 
Utakapo fika muda kwenda mbele ya haki mh jk alafu mtu akafanya sherehe basi mtu huyo ameoza kichwa
 
Kikwete ni mmoja wa watu wa ovyo sana, na atakuwa ndio anamharibia Samia.

Maana kila kona kamganda kama ruba, anarusha vijembe na kutafutia vyeo familia yake.

Familia yenye tamaa kaliiiiiiiiiii
 
Hadi Riz1 awe Rais, ndo atatulia huyo Mzee, vinginevyo utamuona sana siasani.
 
Ningekua jakaya ningejisafisha kwa kuwapa watanzania zawadi ya kiongozi wamtakaye...fikiria kwa sasa yeye ndio mwenye uwezo wa kufanya hivyo lakini anaharibu huku akijua watanzania mpaka wa vijijini wanajua michezo yake
Aliwabeba wapinzani wapiga deal km yeye kina Mbowe kubalance mawizi yake..
 
Kwani Babu Seya alimfira mwanao ? Tanzania nzima inafahamu upumbavu wa Kikwete wewe unashangilia uovu huo ?
 
Tuna very short memory

Hakuna Kipindi nchi yetu Ilikua na scandal kamq enzi za hamaa
 
Kwani Babu Seya alimfira mwanao ? Tanzania nzima inafahamu upumbavu wa Kikwete wewe unashangilia uovu huo ?
Eti. "Tanzania nzima" inafahamu upumbavu wa Kikwete!! Wewe hizo takwimu za Waranzania wanaochukia Kikwete ulitumia chombo gani kufanya utafiti, nikwambie kitu?? Usituletee chuki zako binafsi kumuhusu Kikwete ukafikiri watu na akili zao timamu watakaa chini na kisikiliza chuki chuki zako zosizo za msingi kumuhusu Kikwete.

Kumbuka yeye ndiye aliruhusu hata uhuru wa vyombo vya habari nchini, bila yeye hata hii Jamiiforums hisingekuwepo likumbuke sana hilo.

Kitu kingine, jitahidi sana kutumia lugha yenye staha, mimi nimesema Babu SEYA mambo ya adhalilishaji aliyo kuwa anawafanyia wanafunzi ni mabaya sana, wewe unanijibu kwa lugha ya vijiweni/mitaani na cha ajabu zaidi unaonyesha huna hata uchungu wa kweli kuhusu wanafunzi wa Watanzania wenzako, kwa kuwa si wanao unaona sawa tu, akili gani hizo??
 
MH.JAKAYA MRISHO KIKWETE,BABA WA TAIFA LETU KWA SASA, TUNAKUSHUKURU KWA USHAURI WAKO MAKINI KWA KIONGOZI WA TAIFA LETU,TUNAKUTAKIA MAISHA MAREFU ZAIDI NA ZAIDI,HASA KATIKA USHAURI WAKO,TUNAFAHAMU WALE WA NEGATIVITY WANAKUONA KIKWAZO KWELI KWAO,WALIFIKIRI MAMBO YANGEKUWA MARAHISI KWAO,MPAKA MUDA HUU HAWAAMINI MACHO YAO!
 
Kikwete aliwapa wapinzani uhuru kiasi cha kufikia hatua ya kuambiwa ni raisi dhaifu wakamfananisha na mwanamke.

Magu aliwabana wapinzani wakampachika majina kama vile dikteta uchwara, jiwe, mshamba na kadhalika.

Watanzania labda ashuke Mungu mwenyewe aongoze nchi vinginevyo hatujui ni nini tunakitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…