Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

Kikwete ni KIZEE CHA OVYO, KIZEE CHA TANAAA KALIIII, KIZEE BUSARA SIFURI.

Miaka 10 Hakikutosheka
 
Bonge la rais. Huyo si ndo alikauwa anamwaga ajira kama mvua baadas jpm akapiaga marufuku kijana wa kitanzania kuajiriwa tena halafu akajiita mfetezi wa wanyonge ambao ajira hawana.
 
Sidhani kama hiyo sababu ina mashiko. Watu kusherehekea ni kawaida tu, huwezi kupendwa na wote.

Hata alipokufa J K Nyerere baba wa Taifa, nakumbuka Christopher Mtikila alisherehekea wazi wazi kwa kununua soda na kuwagawia watu pale Kariakoo mwaka 1999.

Mimi mwenyewe alipokufa Magufuli nilichanga hela na wenzangu tukanunua ngamia pale Kigamboni. Tulimchinja tukala cc Crimea , Idugunde , Nyankurungu2020 , Carlos The Jackal
 
Mzee Ruksa ni wangapi walisherehekea,
 
Kibaya zaidi hizi chuki zitaenda mpka kwa wanae ikitokea Leo mzee kaanguka yule mwanae hana jipya Tena katika siasa za nnchi hii hapo penyewe anabebwa na baba yake
 
Kilichotokea kwenye kifo cha Ayubu ni picha halisi jinsi raia tunachukia uongozi uliopo.
Halafu bahati mbaya wanalazimisha waendelee kututawala.
Hatuwataki
 
Ujumbe mzuri sana huu na umetolewa kiufundi sana bila chuki.
Kongole
 
Everything is happening for a reason !
Rais bora labda kwako sio kwa watu wote !
Wapo tuliosulubiwa na kudhalilishwa Enzi zake tungependa kuona naye analipishwa na KARMA 😳 !
Basi ulikuwa mkorofi sana. Maana mzee hakuwa na shida na watu.
 
Mkuu naona umesahau according to madam president alimwita Boss wangu au umesahau? Boss huwa hapingwi
Ile ni heshima aliyonayo kwa JK akiwa rais mstaafu pekee aliye hai dakika hii.

Unaweza kumchukia kwa tabia zake za kiswahili na ujuaji wake, lakini huwezi kuupinga ukweli kwamba Samia ni lazima hadharani aonyeshe kumheshimu mstaafu anayemtazama kutokea pembeni akiwa na utayari wa kumshauri pale inapobidi.

Kikwete hawezi kuingilia ufanisi wa shughuli za kiserikali, hana nguvu hizo na ushauri wake unaweza kupingwa pia.
 
Mzee sijui kaja kuwaje, kwangu alikua rais bora kabisa baba wa demokrasia.... Sijui haya anayafanya ili iwe nini anafuta mazuri yake yote
 
Rais anayekuwepo madarakani afrika hufurahia pale anapokuwa na mwanasiasa mkongwe anayeweza kumtumia kwenye suala zima la ushauri na usaidizi akiwa ikulu.

Huwa ni neema kwa rais aliyepo kuwa na marais kadhaa ambao ni wastaafu. Kuna picha moja ilipigwa ikiwaonyesha Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli wamesimama kwa pamoja pale Dodoma nje ya ukumbi wa bunge. Huwezi kuipata picha ya aina ile kwenye mataifa mengi ya afrika.

Succession plan inayofanyika kwa amani ni tunu inayoonyesha uwepo wa taifa lenye amani na utulivu.

Kikwete na mabaya yake aliyonayo uwepo wake kwa Samia ni bahati kubwa, hapo Kenya tu Rais Ruto hapatani na makamu wake aliyelazimishwa na bunge ajiuzulu, kila wanapopata nafasi ya kuongea hadharani wanapigana vijembe.

Kikwete anao msaada kwa rais Samia mwenye kuweza kuufahamu umuhimu wake ni Samia mwenyewe.
 
Familia ya msoga ni kama mchwa Huwa hawaridhiki kabisa
 
Kama kukosoa kistaarabu ni Ukorofi hapo siwezi kujua !
Lakini hata hivyo hayo nilisha mwachia Mungu πŸ™ !
Hahahahaha pole mkuu wangu. Ujue sisi wa Africa hatupendi na hatuna utamaduni wa kukosoloewa. Hebu chunguza hata nyumbani kwako utagundua huo.
 
Hahahahaha pole mkuu wangu. Ujue sisi wa Africa hatupendi na hatuna utamaduni wa kukosoloewa. Hebu chunguza hata nyumbani kwako utagundua huo.
Halafu pia mnaamini kwenye siasa hakuna Mungu ?! 😳😱 !
Ngoja Tusubiri tuone πŸ™ 😁 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…