Jakaya Kikwete: Usirithi adui ya mtu... Tengeneza Adui yako Mwenyewe, lakini...

Jk ni professor?Kweli huko UPINZANI yamejaa MAKALAI.
PICHA:KIKWETE APEWA HESIMA YA UPROFESA CHINA>>HONGERA KWAKE!!
Raisi kikwete yupo nchini China kwa mualiko wa Raisi wa china Xi JinPing,katika ziara hiyo amefanikiwa kufanya makangamano kadhaa ya kiuchumi pamoja na kushereheka mika 50 ya ushirikiano wa Tanzania na Uchina.
Ushirikiano ambao bado sasa unadumu tangu awamu ya J.K Nyerere. Pamoja na hayo amepata heshima ya kutunukiwa hadhi ya uprofesa.

Raisi Mh. Jakaya Kikwete akihutubia mkutano naada ya kupewa heshima hiyo ya Uprofesa katika China Agricultural University.
 
Safi mkuu,,alafu analeta hbr ya u pinzani hapa
 
Mkuu haiitaji degree kuwa jk ni dokta tena wa kupewa.Sijui unaweza leta ushahid wa kiofisi may be kutoka ofisi ya Rais au sehem yyt ile ambapo jk wanamwita professor. Hata uteuz wa juz tu hapo udsm unamtambua kama Dr jk sio professor jk.
 
JK alishahama CCM lini?

[HASHTAG]#tusiwenaive[/HASHTAG]
 
Hii inaitwa piga nikupige sema mmoja hana meno sasa lazima mtu mzima atulie
 
Naona kuna kauli zingine huwa zinaleta ahueni kwa watu.
Kauli hii ya JK imemponya babu Seya na mwanae. Welcome to the world Mzee Nguza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…