Jamaa alieoa dada yangu mgumu kuwasiliana na sisi ndugu wa mkewe

Nendeni basi na nyinyi mkamsaidie kutombwa, mimi nione nisiwaze kumtomba mke wangu niwaze kupiga simu ukweni mmeniroga?
 
Nendeni basi na nyinyi mkamsaidie kutombwa, mimi nioe dada yenu nisiwaze kumtomba mke wangu niwaze kupiga simu ukweni mmeniroga?
 
juzikati kuna jamaa alihadharisha apa familia ambazo hupaswi kuoa
 
Kama ndiyo anaelimu kubwa dharau mtazipata dada yenu anaweza asiongee lakini ndiyo hivyo, unakuta kitu bichwa kubwa lakini kiburi na dharau ndiyo balaa, muacheni nyie muwe mnawasiliana na ndugu yenu tu ,siku akimkolea atazungumza tu
 
Nendeni basi na nyinyi mkamsaidie kutombwa, mimi nioe dada yenu nisiwaze kumtomba mke wangu niwaze kupiga simu ukweni mmeniroga?
 
relax aisee focus na life yako. sisi tuna jamaa km huyo tunaenda nae kijeshi ivoivo km anavyotaka yeye.

kiufupi hatuna habari naye kwaiyo yanayotokea kwa familia yake ni ya kwake na familia yake ivoivo yanayotokea kwetu ni ya kwetu hayamhusu.

akipitiwa na tairi ya gari, sijui boda au sijui mtoto wake kapatwa na balaa gani sisi hata hatujikuni. ikitokea kwetu ivoivo. miaka inasonga. kubwa uzima.
 
Umemaliza kila kitu.
 
Pole hiyo si upande wa mke hata Kwa wanaume ipo, mie nilifiwa na baba tukaenda wawili mke na mme, kafariki mama nikaenda mwenyewe na ndugu zangu, niambie sasa wao wanavyojua kulalamika mtu akiumwa hata mafua wanataka kuchangiwa pesa, nishasema machozi yangu nishalilia wazazi wangu, kwahiyo kila mtu atajua mwenyewe, wenyewe hujiona wamuhimu sana.
 
Huyo shemeji yako inawezekana ni Mimi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... Anyway, wengine maswala ya kupiga piga simu hatuko vizuri sana angalau utume msg utajibiwa.
yaani mpaka nimejistukia nikahisi mleta sledi ananisema...baba mkwe mara ya mwisho tumewasiliana mwaka juzi
 
huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, jengine bado hajamalizia mahari
Awapigie awaambie nini
 
Nimewaza sana hivi wakinipigia hawa mashemeji kwamba mbona siwapigii, niwajibu kwamba niwapigie kuwajulisha ninavyomchakata ndugu yenu au vp
 
Akili za kipuuzi hizi, unataka shemeji awe anakupigia sio
 
Akili za kipuuzi hizi, unataka shemeji awe anakupigia sio
 
Mimi ni mmojawapo ya watu wasitaka kuwasiliana sana yaani energy yangu ipo katika ubinafsi wa mambo yangu.
You are an introvert.

Hata mimi nipo hivyo ingawa nilichelewa sana kujitambua kuwa mimi ni mtu wa haiba hiyo.

Asilimia kubwa ya watu wa tabia hii ni wachache kwenye jamii na tunachukiwa sana na general public tukidhaniwa ni watu wenye kiburi na dharau kumbe deep down ndiyo watu tunaongoza kwa kujali sana wengine
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tena sana mkuu, mimi nimeshazoea kuambiwa nina dharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…