Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

Ni kawaida tu siku yake ilifika.
 
Vipi na Salman Rushdie allah kashindwa kumuua hadi ikabidi mumsadie kwa kumvizia na kisu mungu wenu ni mwehu kweli hana tofauti na mchawi.
 
Hata hiyo biblia ambayo unaipigia chapuo kuwa haijicontract, ina contradictions tele.

Quran na biblia, yote yale yale tu.
Biblia umeletewa na wakoloni, wakubrainwash na wakutawale..
Wale quran waliletewa na miarabu kwa malengo yanayoshabihiana na ya wakoloni.

Ushauri: jifunze kuhusu mila na tamaduni za kwenu...zifuate na kuziheshimu hizo.
Achana na ngano za mungu wa waisrael na waarabu.
#Backtoafroroots
 
Umechomeka kupata taarifa ya mchoma Qur'an?
MaaIslamists wamewaweza kweli kweli na nyinyi kwa Ushetani wenu mkaingia King ati amekufa🙄🙄🙄
Kwa taarifa yenu yupo yupo sana na ataendelea kuchoma Kitabu chenu cha Allah, the Satan
 
Alichokifanya sio kizuri ila ni kitendo cha kuleta uhasama tu.

Tujifunze uvumilivu wa kiimani
 
Vipi na Salman Rushdie allah kashindwa kumuua hadi ikabidi mumsadie kwa kumvizia na kisu mungu wenu ni mwehu kweli hana tofauti na mchawi.
Kasome history ya Vita vya msalaba,walikua wanamsaidia Mungu gani!?..unapotoa fungu la kumi,huyo Mungu wako hela Hana!?..si umwambie abeti,unapomtolea sadaka ya kuteketeza huwa na hamu ya nyama choma!?..muwe mnampikia ugali na kachumbari alie nyama choma,Ila vipi Hana wanyama na moto!?..unapojenga nyumba ya Mungu(kanisa) yeye Mungu wako hawezi kujijengea mkaabudu humo!?..mnapomuhubiri mwenyewe Hana Domo la kuhubiei huko aliko tumsikie mpaka mhahe kuhubiei jua Kali na miauti yenu mate yakiwaruka!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…