Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

MaaIslamists wamewaweza kweli kweli na nyinyi kwa Ushetani wenu mkaingia King ati amekufa🙄🙄🙄
Kwa taarifa yenu yupo yupo sana na ataendelea kuchoma Kitabu chenu cha Allah, the Satan
Usinichanganye mimi na hao watumwa wa kitamaduni wenzio unaowaita waislamu.

Wewe muabudu mungu wa wayahudi na waislamu3 waabudu mungu wa waarabu hamna tofauti yoyote..
Just another slave thinking their master is a better one.
☠
 
Hahaha kaondoka kawaacha wapo ktk swaumu. Dada Zake baada ya kumfukia wanasilimu. Alikuwepo Abujah kaucha uislam ukishika kasi.
Muulizeni hataki tena maandamano?
anya
Salwan Sabah Matti Momika ni mkosoaji wa Uislamu. Anajulikana kwa kupanga maandamano nchini sweden ambapo alichoma Quran hadharani.

Momika alizaliwa katika familia ya Kikristo, lakini alibadilika na kua mtu asiyeamini uwepo wa Mungu.

Mnamo 2023, Momika alipanga mfululizo wa maandamano kama ukosoaji juu ya Uislamu. Wakati wa maandamano hayo, aliinajisi Quran kwa kuichoma chini ya ulinzi wa polisi.

View attachment 2951183

Salwan Momika anarudi kukutana na Mwenyezi Mungu katika mwezi wa Qur'an mwezi wa Ramadhan.

...........
View attachment 2951184
anyany
 
Wote sawa tu kwenye macho na mitazamao ya wengi, wanaochoma Kuruani na wanaojilipua. Wote Ni wafia dini tu.

Haijalishi,

Kifo hakiepukiki.

Yesu alikufa, Mtume S.A.W alikufa. Ingekuwa ajabu kama Momifa asingekufa-

29th centuary hiyo ndio ingekuwa ajabu.
 
Unaweza kuta ni watu wa serikalini wamemfinya kimya kimya, kwa sababu kwa kitu alichokuwa anafanya ni kuhatarisha amani ya nchi.

Kwa kumpatia ulinzi wa askari ina maana walikuwa wanafahamu fika anachofanya ni hatari. Pia inaleta picha mbaya kwa wafuasi wa dini ya kiislamu kwamba mtu anachoma kitabu chao na polisi anampatia ulinzi. Inaweza leta chuki dhidi ya askari polisi ukashangaa wanaanza kulipuliwa.

Jamaa alikua mpuuzi, apimzike kwa amani.
 
Vyombo vya habari vikubwa vya Norway hadi sasa havijaripoti kifo chake kama Breaking News.

Kwahiyo hii habari haina credibility. Ni uzushi.



 
Wote sawa tu kwenye macho na mitazamao ya wengi, wanaochoma Kuruani na wanaojilipua. Wote Ni wafia dini tu.

Haijalishi,

Kifo hakiepukiki.

Yesu alikufa, Mtume S.A.W alikufa. Ingekuwa ajabu kama Momifa asingekufa-

29th centuary hiyo ndio ingekuwa ajabu.
Yesu kafa akiwa muislam. Yeye kafa akiwa kafiri
 
Yesu kafa akiwa muislam. Yeye kafa akiwa kafiri
Wote wamekufa tu. Haijalishi.

Eti kwamba ndio watakuwa wamekufa zaidi ya kufa?

Sio dini wala imani na sayansi kwa ujumla inasema mtu fulani anakufa zaidi ya kufa.
 
Huyo ni mpumbavu sana, kakitafuta kifo mwenyewe bila shurti na kawaachia wengine matatizo huko.
 
Back
Top Bottom