Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

Sio
Hivyo vitisho tu mbona hao theists kila sku tunaona wanateseka mpka wanakufa na hawana msaada ?
Sio Vitisho ni Hali halisi ye Hana upande wwt,ila anaopambana nao km wako kwenye mambo ya giza hatoboi
 
Nitachokaje na nilitoka kwetu kuja kwake kufata kupanuliwa?
Nitasema nimechoka, yeye asipo afiki lazima nipanue tyuuh.

Yeye atoe pesa kila akiombwa.
Basi wewe wa kipekee, nimejikuta nimekutamani ghafla wallah,
 
Watu Wana utoto sana Kuna dili zinapigwa halafu watu wanakaaa kmya wala hakuna kelele yaani jamaaa anaombwa ela tena akiwa kazin, hajawahi kukutana na chaka linataka utoe ela kwanza ndo utimbe kazin tena ela ya maana na wakati huna uhakika hata na hyo kazi
 
Mbona kawaida tu, utakua una roho mbaya. Don't take it seriously.
Niliwahi piganiwa na bestie mambo ya maisha mpaka leo tumeshibana mpaka ni family friend. Yaani akiniambia shida yake nitapambanq kwa hali zote ili nimtatulie mwana.
Hata tukienda kwenye ulabu nipo responsible na bills na nafeel proud.
Na hata siku kama Sina simu moja tu atatafuta mpaka anisort.
Kiufupi namshukuru sana si leo wala kesho.
Respect bro.
 
Kwani lqzima uende nae out? Mambo mengi tunayolalamikia, tunayaruhusu wenyewe!
Kwani anakushikia bunduki usiame mtaa?
Jitenge nae kijiografia(hama mtaa), acha kupokea cm yake,u didn't do anything bad,
God help you through him, thank$ be to allah only!
 
Mweleweshe una majukumu hauna bajeti ya kumtunza mtu mzima mwenye mshahara

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…