Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

Dah kwa saivi kibongo bongo bila connection hutoboi
 
Acha kazi mkuu, haiwezekani jamaa akutese hivyo na wakulungwa tunaangalia tu
 
kuna jamaa kakupa ushauri wa kwenda kanisani ili kumkwepa jamaa ako, mm nakushauri ukoka kimchongo, kila ukitoka kazini nenda kanisani na umwambie kabisa jamaa kuwa umeamua kuokoka kwani ya dunia yamekurhinda, weekend yote we kanisani tu, akikuchek mjbu kwa sms nipo church, huko kwenye ulokole usje ukazama mazima utajuta, uwe unaenda kwa pw, jamaa atajitenga na ww bila shida yoyote.
ukisema unamkataa jamaa kitabe atakuharibia nakuapia.
 

Si ajabu kwa wenye kusaidiwa kuwachukia na hata kuwasengenya waliowafikisha walipo:



Wanasema shukurani ya punda ni mateke.
 
Muache ajichanganye amkatae kibabee, mbna kazi enyewe atakosaa.
 
Hii thread ikienda facebook, utasikia "Mdau wa JamiiForums anaomba ushauri..."*
Wanatudhalilisha Sana, huwa sichangii hata siku moja page ya JF Facebook.

Kuna miaka ya nyuma JF ilipigwa bonge Cyber attack ikawa down tulihamishiwa Facebook Kwa muda wakati main site wanapambana kurudisha hewani ndio Angalau nilikuwa na comment Kule Facebook.
 
Mueleze kwa uwazi (ila kwa busara) jinsi usivyoridhika na yeye kukufanya kitega uchumi baada ya kukusaidia.

Atachukia ila ujumbe utakuwa umefika na ninaamini hatakufuata tena.
Usiwe mnyonge hivyo..onyesha hisia zako kwa anayekufurahisha au anayekuudhi. Utaheshimika sana.
Kwa maelezo yako inaonesha wazi unaishi kinafiki na huyo rafiki yako.

Kwa kifupi wewe ni mnafiki.
 
Sasa mkuu nifanyaje wakati yeye ndo kanipa mchongo
 
Acha hiyo kazi aliyokutafutia. Halafu urudi kwenye maisha yako ya zamani.
 
Sasa mkuu nifanyaje wakati yeye ndo kanipa mchongo
Mbona wengine michongo kama hiyo mshahara wa Kwanza anachukuwa aliyedalalia mchakato?

Kwa kifupi wewe ni mduwanzi Fulani tu.

Kama unalipwa kweli 2.5 unashindwa Vipi kumpa jiwe tano kwenye bahasha na kumwambia Thank you

Mafala mafala mpo wengi Sana, halafu ajabu ndio mnaotobowa wakati watu wenye akili wanaendelea kutubu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…