Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

We jamaa [emoji16][emoji16]
 
Hamna siyo manyanyaso ni wewe ndo umeanza kiburi, nikikutafutia kazi usizuie ni wapi ni kusimange ntakusimanga popote napotaka mimi , kukataa kusimangwa hiyo ni kiburi
 
Sema kama jamaa analamba 2.5 yeye ampe hata million then ampe asante..
Ila kama mwamba ataendelea kukomalia kila mwezi iwe hivyo basi amkatae kabisa lakini pia asiwahi kumkataa kama ajaweka mambo fresh coz mwamba anaweza tibua mambo kazini hapo.
 
Khaaa
Ila ndo maana watu hawapendi kusaidiwa na watu!
Hasa ndo nn,mbona unakuwa km mtumwa?
This is not Fair 😞
 
Ukiona kamconnect na kazi ujue ana maelewano mazuri na wakuu hapo kazini
 
Ampe kila anapotaka, km hataki aache kazi ili awe huru.
Mbona simple tyuuh
Wewe unaweza kufanya hivyo?.Kila mtu hupata riziki kupitia mtu ningekuwa mimi ningemkataa mazima akitaka hio kazi aniharibie ingawa sio rahisi kama anavyodhani labda angekua yeye ndio kamuajiri sawa.
 
Watu hamjui kula na vipofu ingekuwa mimi ningekuwa namtia hata 100k kila mwezi pasipo kuombwa
 
Kwahio anaouwezo pia wakumfukuzisha?. Sio rahisi kama unavyodhani kumfukuza mtu kazi ambae hujamuajiri. Labda awe hawezi kujisimamia katika kazi.
kama ni private company unatimuliwa vizuri tu, wanakuambia una under peform, kisha wanakuondoa.
 
Kuna siku nilimpa 30 akasema "kazi nmekuconnect ya mil 30 kwa mwaka Wewe unanipa afu30?"
Huyo jamaako kuolewa ni sehemu ndogo sana, haifai mwanaume kujidhalilisha kwa gharama ya shs 40 elfu, yan anataka kila mkienda out gharama ulipe wewe wakati hata yeye anaweza kulipa, nna uhakika hawez maliza bia za elfu hamsin, na hiyo hamsini ana uwezo nayo, akikosa kazi atakuwa mke wa mtu, nakuhakikishia…Au nasema uongo ndugu zangu, Tufanze kazi(In the late Magufuli’s voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…