Jamani Mungu yupo na anafanya kazi usiku na mchana. Tuache kuonea watu mungu hapendi na kisasi chake

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla na wengi mno sema vyombo vya habari vilidhibitiwa visiripoti chochote.

Wengine waliponea chupuchupu kufa kama.Tundu lisu.

Sasa angalia Mungu adhabu yake ilivyo kuu. Kamchukua mmoja baada ya mwingine hasa haya magaidi haya.

Jpm
Makonda (bado taarifa rasmi)
Le mutuzi (kibri na akawa anchekelea kuuawa kwa watu eti wamejiteka wenyewe)

Nawasihi jamani mungu yupo tenda mema
 
Hawa hawajifunzi , naungana na wewe Mungu yupo kazin sasa ,ngoja tuone kati Binadam na Mungu nani yupo juu, kipindi cha mwendazake nilifunga sana , na sasa narudi kazini Mungu wangu mwaminfu sana siku zote

Note
Kuna kipindi cha mwendazake ,nikaa siku saba hata bila kwenda kazini, nilidhohofika sana , ila nilipewa jibu moja tu ,tafuta mti mrefu kuliko yote Afrika ukapige magoti na usali , shida mie sio mwalim, sio mchungaji , wala nabii so nilileta ombi hapa jf kwa wachungaji , manabii, walim kunipa tafasiri ili kujua ni wapi , sasa jf wakuu mnaijua kejeli ,matusi mengi , nikaumiza kichwa ikashindikana .

For 2weeks later nikaambiwa kitu kingine japo hii safari hii kwangu ilikua simple , ila badae sana nikaja ambiwa mti mrefu ulikua huu , nikazurula kwenye mti ule ,panda mti ule mpaka miguu ikauma kwenye ndoto ,

Wana wa Mungu ni mda wa wakuludi msalabani hali imekua mbaya sasa , unampigaje kiongozi , mfano Lissu ambe kesho anaenda kuwa boss wako , kama sio laana ni nini , Mda mwalim
 
Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla na wengi mno sema vyombo vya habari vilidhibitiwa visiripoti chochote.

Wengine waliponea chupuchupu kufa kama.Tundu lisu.

Sasa angalia Mungu adhabu yake ilivyo kuu. Kamchukua mmoja baada ya mwingine hasa haya magaidi haya.

Jpm
Makonda (bado taarifa rasmi)
Le mutuzi (kibri na akawa anchekelea kuuawa kwa watu eti wamejiteka wenyewe)

Nawasihi jamani mungu yupo tenda mema
Anaishi wapi Mungu nikamsalimie?

Huko alipo anaona viwete na masikini wanavyoteseka ama yeye anashughulikia vilio vya matajiri walioonewa kwa akaunti zao kufungwa?

Ana shughuli gani rasmi inayomuingizia kipato hiko anakoishi?
 
Huyo mungu si hata atusikie na sisi masikini jamani!! anasikia vilio vya matajili tu
Allah Anasema Katika Qur an Suurat Al Baqarah

وَإِذَا سَأَلَكَ عِبَادِي عَنِّي فَإِنِّي قَرِيبٌ ۖأُجِيبُ دَعْوَةَ الدَّاعِ إِذَا دَعَانِ ۖفَلْيَسْتَجِيبُوا لِي وَلْيُؤْمِنُوا بِي لَعَلَّهُمْ يَرْشُدُونَ ﴿١٨٦﴾

186. Na watakapokuuliza Waja Wangu kuhusu Mimi, basi (waambie) hakika Mimi Niko Karibu (kwa ujuzi). Naitikia duaa ya muombaji anaponiomba. Hivyo basi waniitikie Mimi na waniamini Mimi, wapate kuongoka.[]
 
Matatizo ya kisiasa kamwe hayatatuliwi kiroho/kimbingu. Kama Hilo lingewezekana Gaza, Ukraine, Somali, Sudani n.k wasingeteketezana kiasi kile. Au huyo Mungu yuko Tanzania tu?
Allah Anasema Ktik Qur an Kweny Suurat Ibraahim
وَلَا تَحْسَبَنَّ اللَّـهَ غَافِلًا عَمَّا يَعْمَلُ الظَّالِمُونَ ۚ إِنَّمَا يُؤَخِّرُهُمْ لِيَوْمٍ تَشْخَصُ فِيهِ الْأَبْصَارُ ﴿٤٢﴾

42. Na wala usidhanie kabisa kwamba Allaah Ameghafilika na yale wanayoyatenda madhalimu. Hakika Anawachelewesha kwa ajili ya Siku ambayo macho yatakodoka
 
Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla na wengi mno sema vyombo vya habari vilidhibitiwa visiripoti chochote.

Wengine waliponea chupuchupu kufa kama.Tundu lisu.

Sasa angalia Mungu adhabu yake ilivyo kuu. Kamchukua mmoja baada ya mwingine hasa haya magaidi haya.

Jpm
Makonda (bado taarifa rasmi)
Le mutuzi (kibri na akawa anchekelea kuuawa kwa watu eti wamejiteka wenyewe)

Nawasihi jamani mungu yupo tenda mema
Wewe unadhani nani hata Kufa Sasa? Yaani utake kuleta vurugu harafu usingizie Mungu? Acha hizo basi,order must be observed Kwa maslahi ya wengi
 
Wewe unadhani nani hata Kufa Sasa? Yaani utake kuleta vurugu harafu usingizie Mungu? Acha hizo basi,order must be observed Kwa maslahi ya weng
Nani wa kutafsiri kuwa ni virugu. Mahakama ndo inayotafsiri vurugu siyo rais. Ndo mana mungu alichukizqa na hilo la jpm kuua ovyp kwa kisingizio eti ni order
 
Wenye dhamana ya usalama wa raia ambao ni Polisi
 
Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla na wengi mno sema vyombo vya habari vilidhibitiwa visiripoti chochote.

Wengine waliponea chupuchupu kufa kama.Tundu lisu.

Sasa angalia Mungu adhabu yake ilivyo kuu. Kamchukua mmoja baada ya mwingine hasa haya magaidi haya.

Jpm
Makonda (bado taarifa rasmi)
Le mutuzi (kibri na akawa anchekelea kuuawa kwa watu eti wamejiteka wenyewe)

Nawasihi jamani mungu yupo tenda mema
images.jpeg-90.jpg
 
Madaraka hulevya zaidi ya pombe!
 
Back
Top Bottom