Viongozi wa CCM wao ndo wanaruhusiwa kuwadharau Chadema? Ndo katiba inavyosema?Mbona Machadema Wana mdhihaki,wanadhani wanaweza kufanya lolote kisa tuu ameamua kuheshimu Katiba.
Je Kuna Nchi hapa Duniani ambayo Vyama vitakuwa vinaamka tuu na kuorganise watu wakaandamane na kutatiza shughuli za Umma? Hiyo ndio Haki na Demokrasia wanayoitaka?