- Thread starter
- #41
Kwenye demokrasi hakuna utaratibu. Hakuna kifungu cha sheria kinachosema demokrasia iwe na utaratibu labda udictator tuDemokrasia lazima iwe na utaratibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye demokrasi hakuna utaratibu. Hakuna kifungu cha sheria kinachosema demokrasia iwe na utaratibu labda udictator tuDemokrasia lazima iwe na utaratibu
Masikini ndio wanaongoza kwa kumlilia Mungu ila hakuna linalobadilikaAllah Anasema Katika Qur an Suurat Al Baqarah
وَإِذَا سَأَلَكَ عِبَادِي عَنِّي فَإِنِّي قَرِيبٌ ۖأُجِيبُ دَعْوَةَ الدَّاعِ إِذَا دَعَانِ ۖفَلْيَسْتَجِيبُوا لِي وَلْيُؤْمِنُوا بِي لَعَلَّهُمْ يَرْشُدُونَ ﴿١٨٦﴾
186. Na watakapokuuliza Waja Wangu kuhusu Mimi, basi (waambie) hakika Mimi Niko Karibu (kwa ujuzi). Naitikia duaa ya muombaji anaponiomba. Hivyo basi waniitikie Mimi na waniamini Mimi, wapate kuongoka.[]
Nakuhamuru kama Mungu wangu anenavyo sasa na sio ombi ni lazima, hatujuani na sina shida tujuane , njoo na hoja utajibiwa in 24 hrs , vinginevyo pitia hapa hapa jf , utaaona kwamba nchi ipo na waliobarikiwa , ndani ya nchi hii chawa wamekua kama mashetani , nyie chawa ndo wavuluga amani wa nchi hii, nyie ni sum kubwa ndani ya nchi hii .Kama Machadema ni washirika na wasemaji wa Mungu Wacha tusubirie tuone 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😆😆Nakuhamuru kama Mungu wangu anenavyo sasa na sio ombi ni lazima, hatujuani na sina shida tujuane , njoo na hoja utajibiwa in 24 hrs , vinginevyo pitia hapa hapa jf , utaaona kwamba nchi ipo na waliobarikiwa , ndani ya nchi hii chawa wamekua kama mashetani , nyie chawa ndo wavuluga amani wa nchi hii, nyie ni sum kubwa ndani ya nchi hii .
Hamtaweza shindana na mamlaka Mungu kuaribu taifa hili , mtafutwa mmoja bila sahau anaewafadhili awaye yoyote yule na imekua.
Na kwa nguvu ya Mungu wangu kuanzia leo nawafuta machawa wote katika taifa hili hanzia utosi wenu mpaka nyao za miguu yenu , na yoyote anae wafadhili namfuta katika ramani za pembe nne , kasikazin, kusin, magharibi, mashariki, mpaka pale kila mmja atatubu na kwasaidia wajane milion 1, yatima mil 5 , na imekuaaaaaaa
Mungu yupo lakini uwepo wa Mungu umejaribu kuuthibitisha kwa kutumia mifano isiyo sahihiEnzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla na wengi mno sema vyombo vya habari vilidhibitiwa visiripoti chochote.
Wengine waliponea chupuchupu kufa kama.Tundu lisu.
Sasa angalia Mungu adhabu yake ilivyo kuu. Kamchukua mmoja baada ya mwingine hasa haya magaidi haya.
Jpm
Makonda (bado taarifa rasmi)
Le mutuzi (kibri na akawa anchekelea kuuawa kwa watu eti wamejiteka wenyewe)
Nawasihi jamani mungu yupo tenda mema
Achana na Magufuli hangaika na jimama lakoEnzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla na wengi mno sema vyombo vya habari vilidhibitiwa visiripoti chochote.
Wengine waliponea chupuchupu kufa kama.Tundu lisu.
Sasa angalia Mungu adhabu yake ilivyo kuu. Kamchukua mmoja baada ya mwingine hasa haya magaidi haya.
Jpm
Makonda (bado taarifa rasmi)
Le mutuzi (kibri na akawa anchekelea kuuawa kwa watu eti wamejiteka wenyewe)
Nawasihi jamani mungu yupo tenda mema
Imeisha tekeleza ilo takwa na sio ombi🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😆😆
Je siku akifa mbowe? Je mbobezi alivyokufa. Acha ujinga. Hayo ni matukio ya kutengenezwa kama yanavyotengenezwa sasaEnzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla na wengi mno sema vyombo vya habari vilidhibitiwa visiripoti chochote.
Wengine waliponea chupuchupu kufa kama.Tundu lisu.
Sasa angalia Mungu adhabu yake ilivyo kuu. Kamchukua mmoja baada ya mwingine hasa haya magaidi haya.
Jpm
Makonda (bado taarifa rasmi)
Le mutuzi (kibri na akawa anchekelea kuuawa kwa watu eti wamejiteka wenyewe)
Nawasihi jamani mungu yupo tenda mema
Thanks, nakutaka ndani ya masaa 7 anzia mda huu omba msamaha ,nakutaka sio ombi
Apumzike anapostahili , kupumzika sio shida ,shida anapumzika wapi?Muacheni mzee apumzike sasa
🚮🚮Thanks, nakutaka ndani ya masaa 7 anzia mda huu omba msamaha ,nakutaka sio ombi
Kuna watu wamekariri kila kitu eti hadi Mahakama iseme, hata waziri wa Aridhi au Commissioner wa Aridhi akisema hili shamba mmiliki halali ni bwana John, bado kuna watu watampinga eti yeye siyo Mahakama, au utasikia anaingilia kazi ya Mahakama! Sasa unaambiwa na police kuna dalili za uvunjifu wa amani, unasema eti hadi mahakama ndiyo iseme! Watanzania tuna kazi sana na akili zetu!!Wenye dhamana ya usalama wa raia ambao ni Polisi
Ukisikiliza sana maneno ya Mtanzania hutoboiKuna watu wamekariri kila kitu eti hadi Mahakama iseme, hata waziri wa Aridhi au Commissioner wa Aridhi akisema hili shamba mmiliki halali ni bwana John, bado kuna watu watampinga eti yeye siyo Mahakama, au utasikia anaingilia kazi ya Mahakama! Sasa unaambiwa na police kuna dalili za uvunjifu wa amani, unasema eti hadi mahakama ndiyo iseme! Watanzania tuna kazi sana na akili zetu!!
Ndivyo sheria zilivyo dogo. Unless unataka kupingana na sheria za nchiKuna watu wamekariri kila kitu eti hadi Mahakama iseme, hata waziri wa Aridhi au Commissioner wa Aridhi akisema hili shamba mmiliki halali ni bwana John, bado kuna watu watampinga eti yeye siyo Mahakama, au utasikia anaingilia kazi ya Mahakama! Sasa unaambiwa na police kuna dalili za uvunjifu wa amani, unasema eti hadi mahakama ndiyo iseme! Watanzania tuna kazi sana na akili zetu!!
Na mama Abdul ni mmoja wao ni swala mda tu karma itamuangukiaEnzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla na wengi mno sema vyombo vya habari vilidhibitiwa visiripoti chochote.
Wengine waliponea chupuchupu kufa kama.Tundu lisu.
Sasa angalia Mungu adhabu yake ilivyo kuu. Kamchukua mmoja baada ya mwingine hasa haya magaidi haya.
Jpm
Makonda (bado taarifa rasmi)
Le mutuzi (kibri na akawa anchekelea kuuawa kwa watu eti wamejiteka wenyewe)
Nawasihi jamani mungu yupo tenda mema
Itakuwa wanataka waone police wakiwaambia na chama tawala mikutano yao hairuhusiwi kwa sababu kuna dalili za uvunjifu wa amani.Sasa unaambiwa na police kuna dalili za uvunjifu wa amani, unasema eti hadi mahakama ndiyo iseme! Watanzania tuna kazi sana na akili zetu!!
Umenikumbusha jinsi wagombea upinzani peke yake ambavyo huwa wanakosea kujaza fomu za uchaguzi na kuenguliwa na tume ya uchaguzi halafu wanakuwa wabishi!Kuna watu wamekariri kila kitu eti hadi Mahakama iseme, hata waziri wa Aridhi au Commissioner wa Aridhi akisema hili shamba mmiliki halali ni bwana John, bado kuna watu watampinga eti yeye siyo Mahakama, au utasikia anaingilia kazi ya Mahakama! Sasa unaambiwa na police kuna dalili za uvunjifu wa amani, unasema eti hadi mahakama ndiyo iseme! Watanzania tuna kazi sana na akili zetu!!