- Thread starter
- #21
We hukutaka kabisa kujua. Labda wangeua dada yako au mdogo wako ndo ungekuwa interested kujua au vipi. Sasa huo ni ubinafsi wa kiafrica. Ndo mana tunasemaga waafrica hawakustahili kuwa binadamu bali nyaniHayo Mimi siyajui,tujadili yaliyopo Sasa.