Jamani Mungu yupo na anafanya kazi usiku na mchana. Tuache kuonea watu mungu hapendi na kisasi chake

Masikini ndio wanaongoza kwa kumlilia Mungu ila hakuna linalobadilika
 
Kama Machadema ni washirika na wasemaji wa Mungu Wacha tusubirie tuone 🤣🤣🤣🤣
Nakuhamuru kama Mungu wangu anenavyo sasa na sio ombi ni lazima, hatujuani na sina shida tujuane , njoo na hoja utajibiwa in 24 hrs , vinginevyo pitia hapa hapa jf , utaaona kwamba nchi ipo na waliobarikiwa , ndani ya nchi hii chawa wamekua kama mashetani , nyie chawa ndo wavuluga amani wa nchi hii, nyie ni sum kubwa ndani ya nchi hii .

Hamtaweza shindana na mamlaka Mungu kuaribu taifa hili , mtafutwa mmoja bila sahau anaewafadhili awaye yoyote yule na imekua.

Na kwa nguvu ya Mungu wangu kuanzia leo nawafuta machawa wote katika taifa hili hanzia utosi wenu mpaka nyao za miguu yenu , na yoyote anae wafadhili namfuta katika ramani za pembe nne , kasikazin, kusin, magharibi, mashariki, mpaka pale kila mmja atatubu na kwasaidia wajane milion 1, yatima mil 5 , na imekuaaaaaaa
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😆😆
 
Mungu yupo lakini uwepo wa Mungu umejaribu kuuthibitisha kwa kutumia mifano isiyo sahihi
 
Achana na Magufuli hangaika na jimama lako
 
Je siku akifa mbowe? Je mbobezi alivyokufa. Acha ujinga. Hayo ni matukio ya kutengenezwa kama yanavyotengenezwa sasa
 
Wenye dhamana ya usalama wa raia ambao ni Polisi
Kuna watu wamekariri kila kitu eti hadi Mahakama iseme, hata waziri wa Aridhi au Commissioner wa Aridhi akisema hili shamba mmiliki halali ni bwana John, bado kuna watu watampinga eti yeye siyo Mahakama, au utasikia anaingilia kazi ya Mahakama! Sasa unaambiwa na police kuna dalili za uvunjifu wa amani, unasema eti hadi mahakama ndiyo iseme! Watanzania tuna kazi sana na akili zetu!!
 
Ukisikiliza sana maneno ya Mtanzania hutoboi
 
Ndivyo sheria zilivyo dogo. Unless unataka kupingana na sheria za nchi
 
Na mama Abdul ni mmoja wao ni swala mda tu karma itamuangukia
 
Sasa unaambiwa na police kuna dalili za uvunjifu wa amani, unasema eti hadi mahakama ndiyo iseme! Watanzania tuna kazi sana na akili zetu!!
Itakuwa wanataka waone police wakiwaambia na chama tawala mikutano yao hairuhusiwi kwa sababu kuna dalili za uvunjifu wa amani.
 
Umenikumbusha jinsi wagombea upinzani peke yake ambavyo huwa wanakosea kujaza fomu za uchaguzi na kuenguliwa na tume ya uchaguzi halafu wanakuwa wabishi!
ChoiceVariable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…