Viongozi wa CCM wao ndo wanaruhusiwa kuwadharau Chadema? Ndo katiba inavyosema?Mbona Machadema Wana mdhihaki,wanadhani wanaweza kufanya lolote kisa tuu ameamua kuheshimu Katiba.
Je Kuna Nchi hapa Duniani ambayo Vyama vitakuwa vinaamka tuu na kuorganise watu wakaandamane na kutatiza shughuli za Umma? Hiyo ndio Haki na Demokrasia wanayoitaka?
Umewahi msikio Kiongozi yupi wa CCM anatukana Chadema?Viongozi wa CCM wao ndo wanaruhusiwa kuwadharau Chadema? Ndo katiba inavyosema?
๐๐๐๐๐จ Bado hujasema ๐คฃ๐คฃHuyu maza ni katili haswa amejificha kwenye dini
UWT mtanyooka๐๐๐๐๐จ Bado hujasema ๐คฃ๐คฃ
Yeye mbona hakupumzisha watu?Muacheni mzee apumzike sasa
Wanaonyooka wako lupango saizi ,nasikia chorus ya free our leaders tuu huko ๐๐UWT mtanyooka
Kuna siku mumeo naye atakaa ndani usifikiri upo salama snWanaonyooka wako lupango saizi ,nasikia chorus ya free our leaders tuu huko ๐๐
Kazi inaendelea ๐๐
View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1823004078420496596?t=2--7N93r__d3Z965GMR1xA&s=09
Kuna siku mumeo naye atakaa ndani usifikiri upo salama sn
Furahia mafanikio ya mumeo
Mkajua 4R ni kuchezea sharubu za Simba si ndio?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃFurahia mafanikio ya mumeo
We na mumeo mmenufaika na nini?Mkajua 4R ni kuchezea sharubu za Simba si ndio?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐๐๐จ Amani tele ๐๐๐๐๐We na mumeo mmenufaika na nini?
Haya sherekea mafanikio ya ukatili๐๐๐๐๐จ Amani tele ๐๐๐๐๐
Wwe inaonekana hata Mama yako mzazi humkubali hadi uambiwe na Mahakama huyu ndiyo mama yako mzazi!!Ndivyo sheria zilivyo dogo. Unless unataka kupingana na sheria za nchi
Walioshika Hatamu Wanasemaga kwenye Siasa hakuna Mungu ๐ณ๐๐ฑ๐คฆ๐ฝโโ๏ธEnzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla na wengi mno sema vyombo vya habari vilidhibitiwa visiripoti chochote.
Wengine waliponea chupuchupu kufa kama.Tundu lisu.
Sasa angalia Mungu adhabu yake ilivyo kuu. Kamchukua mmoja baada ya mwingine hasa haya magaidi haya.
Jpm
Makonda (bado taarifa rasmi)
Le mutuzi (kibri na akawa anchekelea kuuawa kwa watu eti wamejiteka wenyewe)
Nawasihi jamani mungu yupo tenda mema
OK kuanzia nda huu saa 21.37 pm ,nakufuta anzia familia yako ukoo wako ,unyayo wako ,uso wako , mbele ya binadam yoyote alieumbwa na Mungu , mdudu aฤบieumbwa na Mungu, mnyama yoyoyte alie umbwa na Mungu , nakufuta anzia utosi mpaka kidole cha mwisho mguu wa kulia ,kidole cha mwisho mkono wa kulia na imekua , tekeleza msamaha huu kwa kutoa sadaka elfu kumi kwa wasiojiweza na imekua , Mungu wa sio mwanadamu ,imekua๐ฎ๐ฎ
๐ฎ๐ฎ๐๏ธ๐๏ธOK kuanzia nda huu saa 21.37 pm ,nakufuta anzia familia yako ukoo wako ,unyayo wako ,uso wako , mbele ya binadam yoyote alieumbwa na Mungu , mdudu aฤบieumbwa na Mungu, mnyama yoyoyte alie umbwa na Mungu , nakufuta anzia utosi mpaka kidole cha mwisho mguu wa kulia ,kidole cha mwisho mkono wa kulia na imekua , tekeleza msamaha huu kwa kutoa sadaka elfu kumi kwa wasiojiweza na imekua , Mungu wa sio mwanadamu ,imekua
Tupo na tutaendelea kuwepo, Mungu wangu yupo up to date sana๐ฎ๐ฎ๐๏ธ๐๏ธ
๐ฎ๐ฎ๐ฎTupo na tutaendelea kuwepo, Mungu wa yupo up to date sana