Jamani naombeni msaada wenu, mke wangu katapelewi Magufuli stand

Nashukhuru
 
Yaani yeye kauliza gari ya kwenda Songea wakamkatia ya Kyela kwa makusudi,kumbuka hayuko peke yake kuna abilia mwingine kama yeye,inamana wamefanya makusudi sababu ya uhaba wa abilia ili wakawafaulishe Makambo kwenye Vicosta vya bei rahisi
Ni kwanini alikubali kutoa Pesa zaidi ilhali anajua nauli ya Kwenda Songea?

Ni kwanini alikubali kutoa Pesa wakati Basi analokatiwa Tiketi siyo basi la Songea?

Alikuwa amelala au walimtishia kumpiga asipokubaliana nao?
 
Mambo ya
Ni kwanini alikubali kutoa Pesa zaidi ilhali anajua nauli ya Kwenda Songea?

Ni kwanini alikubali kutoa Pesa wakati Basi analokatiwa Tiketi siyo basi la Songea?

Alikuwa amelala au walimtishia kumpiga asipokubaliana nao?
Mambo ya wanawake tofauti na sisi wanume,maana nauli ya songea inajulika,si unajua tena watu wakiamua kukutapeli
 
Mambo ya

Mambo ya wanawake tofauti na sisi wanume,maana nauli ya songea inajulika,si unajua tena watu wakiamua kukutapeli
Pole sana Mkuu.
Huenda akajifunza kuwa makini wakati mwingine
 
Nipo hapa na hiyo ndo kazi yangu..
Nina uhakika na nichokiongea
 
Nipo hapa na hiyo ndo kazi yangu..
Nina uhakika na nichokiongea

Nipo hapa na hiyo ndo kazi yangu..
Nina uhakika na nichokiongea
Tatizo watu wa mabasi wanachukuliaga vitu simple mtu umempakia unasema utamfaulisha,kwenye gali uliyomchagulia wewe,maana nimewasiliana na muhusika anasema gari linapiga kelele kama kabati ni choka mbaya na sijui kwa nini hayo mabasi yanaruhusiwa na serikali,
Njoo kwa kaburu uone basi zilivyo,kwanza mizigo yote inaingia kwe trela,siyo kama tunavyopanda na kuku huko nyumbani aliyepanda ndege na basi tofauti yenu ni kufika tu
 
Ungewapigia Latra haaka wakamatwe
 
Muendelezo
yaani hawa jamaa inaonekana ndiyo michezo yao,
Nimewasiliana naye akiwa Morogoro anasema konda ameingia lakini hakutaka kumsikiliza na amejaribu kumuita ili niongee naye hakumpa ushirikiano na kumuulize tiketi,ananiambi wamemnyan'ganya,sisi yeye tu bali abilia wakiwa njiani kabla ya kufika Morogoro ambazo mimi nilitaka zije kuwa kama ushahidi akifika Makambako
Yaani inaonekana kwenye haya mabasi kuna unyanyasaji mkubwa wa abili,nitaendele kuwapa mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…