Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

Acha upuuzi wewe,nitajie Nchi Moja tuu ambayo watu wanapata asali na maziwa hapa Africa.
 
Tozo njaq umasikini miundombinu mibovu inaua watu kila siku wewe unasema sio muuaji??
Mama hana baya, hajawahi kuua mtu, ni makosa tu yakibinadamu...kwaiyo ni ngumu sana kwa hayo maombi yako kumpata!
 
Hukusali hivyo wakati wa utawala wa muuaji, halafu unakuja kusali kwa mtu anayejali uhai wa binadamu, unategemea sala yako itasikika? Au unasali kwaajili yako, akupumzishe, kama ulivyosema, kwa sababu unateseka?
Muuaji ni huyu anayeua masikini kwa tozo za kipumbavu
 
Mama hana baya, hajawahi kuua mtu, ni makosa tu yakibinadamu...kwaiyo ni ngumu sana kwa hayo maombi yako kumpata!
Unajua hizo tozo zimeua na kuleta mateso kwa wangapi? Unajua umeme wa shida unatesa wangapi? Unajua huduma mbovu za afya n miundombinu mibovu inaua wangapi??
 
Mkuu TumainiEl ,
  1. kwanza nimekukubali wewe ni nabii wetu humu, ila sio kila unabii ni lazima utoke kwa Mungu, na sio kila nabii ni lazima awe ni nabii wa Mungu, kuna manabii wa heri, hawa ndio manabii wa Mungu, na kuna manabii wa majanga, hawa ni manabii wa shetani
  2. Kwa kulitambua hili la kuwepo wa manabii wa ukweli na manabii wa uongo, nikashauri, kwa wale manabii wa ukweli, tuwasikilize Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!
  3. Na kwa manabii wa majanga, nikashauri Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!
  4. Mtu yoyote wa kawaida, usie nabii unaweza kupewa maono ya unabii kwa njia Kuu mbili, 1. Kuoteshwa kwenye ndoto, 2. Kuisikia sauti " Voices from within".
  5. Unapopewa maono yoyote, ikitokea ni maono ya jambo baya, kama ile ndoto ya Lema, unachopaswa kufanya ni kuisema kwa uwazi, ili kwanza kui authenticate hiyo ndoto au hayo maono kama kweli ni ya Mungu au ni ya shetani.
  6. Kama ni ya Mungu, watu wa Mungu wanaingia kwenye sala, maombi ya kufunga na kuomba Mungu aliepushe hill jambo baya, na Mungu ni msikivu sana, analiepusha!, ndio maana nikakueleza, hata hili lako tumeisha liweka kwenye maombi, hivyo litaepushwa halitatokea tena kama lile, unless otherwise...
  7. Nikasema hata lile, lsingefanywa siri, watu wangeingia kwenye maombi kumlilia Mungu aliepushe, lakini ndio hivyo tena!, watu wakafanya siri, ndoto ya Lema ikatimia.
  8. Endelea kutuletea maono yoyote utakayo onyeshwa ili basi tuendelee kusali na kumlilia Mungu atuepushe na kutuvusha salama.
  9. Kwenye hili la maono ya sauti za kuambiwa, na mimi nisijiweke mbali, nimo nimo, kwa maoni ya zile sauti "Voices from within " na kitu kinachoitwa kauli umba "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
  10. Kuhusu Tanzania yetu kuelekea 2025, sauti nilio isikia ni hii Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke.
 
Siku serikali ikisema inagawa hela ndo nitaona muujiza haya mengine kawaida sana kutokea.
 
Huo utabiri hata mm mbona rahisi tu,ww tabiri Kwa kutaja kitu gani kitatokea?Omba ushauri Kwa lema
 
Huyu jamaa kila siku anatutisha na tabiri zake lkn hakuna kilichowahi kutokea.
Huyu jamaa alishawahi kumwambia Ben Saanane kwamba ajiangalie atapotea. Halafu kweli baadae Ben akapotea hadi Leo haijulikani yupo wapi
 
Stupid brain can not prove this , Jpm is no more why can't you ? Unakoroma Ben , umeshindwa nini kumleta?
Nchi iko gizani, hakuna umeme, hakuna chakula, madeni yanapaa bila corresponding results!!!!
Only stupid brain can gulp this.
 
Huyu jamaa alishawahi kumwambia Ben Saanane kwamba ajiangalie atapotea. Halafu kweli baadae Ben akapotea hadi Leo haijulikani yupo wapi
Ule wa Ben haukuwa unabii. Mashetani yalikuwa tayari yamepanga kumwua, kabla ya kumwua wakajifanya wanatabiri.

Hata katika haya, si ajabu wamepanga uovu fulani, halafu wanajifanya manabii, lakini kwa kuwa Mungu wetu husimama na wema, waliyoyapanga na kujifanya wanatabiri dhidi ya wengine, watakuwa kama Yahaya, wanajitabiria wao wenyewe.
 
Yani wewe jamaa kila siku tu unatamani tufwe kabisa.Ni kutuombea mabaya tu
 
Mngekufa na mfugaji wenu tuu hatuna damu za kuwanywesha tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…