Na hili joto linaweza waunguza kwasababu VC hajaridhia anajua wana mfanyia figisu, nchi ikisha jihusisha na mambo ya utoanaji uhai kwa ajiri ya madaraka huwa ni bandika banduaSana yaani ni balaa hakuna aliyesalama kiufupi CCM inaonja joto lake yenyewe cc: Pascal Mayalla
Nchi ikishamwaga damu na usaliti ukawepo mkubwa hakuna anayepona mfano kwa Sasa mifumo yetu ina majasusi wengi wa nchi jirani tusipojipanga tutabaki historiaNa hili joto linaweza waunguza kwasababu VC hajaridhia anajua wana mfanyia figisu, nchi ikisha jihusisha na mambo ya utoanaji uhai kwa ajiri ya madaraka huwa ni bandika bandua
Hiyo ni fursa kwa nchi nyingine maana kipindi sie intel zetu zinamalizana zenyewe kwa zenyewe ndani wa nje wanapita kama pazia, msemo wa uswahili unasema vita ya panzi furaha ya kunguru ndio hapo unatimia. Nchi kuja kutulia hii itachukua mda sana na hasa hadi wale ambao wamejimilisha wachoke au waondokeNchi ikishamwaga damu na usaliti ukawepo mkubwa hakuna anayepona mfano kwa Sasa mifumo yetu ina majasusi wengi wa nchi jirani tusipojipanga tutabaki historia
MmHuyo sio mwepesi na haitokua rahisi
ExactlySijawahi kuwa na mashaka na code zako mkuu
ulisemaje hapaUmekua muongo muongo sana wewe siku hizi
No way!, hakuna lolote, hakuna chochote. This time around, hatukubali!, patachimbika.
P
Propaganda za CCM, ngoja uoneulisemaje hapa
TUACHANE NA MIEZI MINGI ILIYOPITA, JUST ANZIA MWEZI WA SITA HADI SASA KUFANYA UCHUNGUZI WA HIZI BASHIRI ZAKE ANAZOPENDA KUWAPA WAPENDA UBUYU HUMU JF, NGAPI ZIMETIMIA. ZIKIFIKA HATA 2 NAKUTUMIA LAKI 5 ASAP
SawaUmekua muongo muongo sana wewe siku hizi
KakaNo way!, hakuna lolote, hakuna chochote. This time around, hatukubali!, patachimbika.
P
Kaka
Ni kweli zaidi ya kurogana hamna jipya hapo😀Ushirika wa wachawi huu hamna cha maana watafanya
Wakunyumba nilisoma huu uzi jana usiku mida ya saa tano, nimeingia jf saa tano naona tayari unabii umetimia,Tayariii, kumekuchaaa!!.