Asante ninazo version zote mbili lakini ile ya 2005 ni version ya kiingereza wakati hiiya 2000 ni version ya kiswahili; kwenye mijadala hii hupenda kutumia vifungu kwenye version ya kiswahili tu. Hat hivyo substance bado ni ile ile, kuwa rais akifa, hafi na serikali yake, bali anayerithi ni Makamu wa rais ambae anaiendeleza serikali hiyo.Tafuta revised Version ya mwaka 2005, PM ni watatu kwenye succession Line na Sio Speaker
Huyu ndo waziri wa kwanza wa katiba na sheria ambaye sio mwanasheria.oja ya kauli inayo onyesha udhalilishaji kwa kuonyesha Rais hawezi kuvunja baraza la mawaziri kwakua anamuogopa/ anamuonea aibu waziri mkuu. Nimawazo ambayo sikutegemea kama yatatolewa na Mbatia.
Kuna kuaminishana kuwa tunamaliza ulipoishia
Jamaa anataka kutuchekesha tu humu
Unafikiri kuwa Waziri wa Katiba na Sheria ndiyo ubobevu wa sheria.
Huyu ndo waziri wa kwanza wa katiba na sheria ambaye sio mwanasheria.
Mkuu nasikia Mafikizolo, Inzile na Gweregwere wanavurugana sana saa hizi.Ngoja ampate makamu wa rais baraza lote atalivunja.
Madaraka kweli matamu. Lakini hapa ni kutoa nafasi kwa Mama kuweza kusuka Serikali yake. Yawezekana pia Majaliwa akarejeshewa nafasi yake kwenye Serikali hiyo mpya.Hivi mnafikiri ni Rahisi ki hivyo..!?
Madaraka matam bhanaa..
Madaraka kweli matamu. Lakini hapa ni kutoa nafasi kwa Mama kuweza kusuka Serikali yake. Yawezekana pia Majaliwa akarejeshewa nafasi yake kwenye Serikali hiyo mpya.Hivi mnafikiri ni Rahisi ki hivyo..!?
Madaraka matam bhanaa..
Well said hili hakuna unabii.Madaraka kweli matamu. Lakini hapa ni kutoa nafasi kwa Mama kuweza kusuka Serikali yake. Yawezekana pia Majaliwa akarejeshewa nafasi yake kwenye Serikali hiyo mpya
Ata wakivurugana tu mama atatumia veto.Mkuu nasikia Mafikizolo, Inzile na Gweregwere wanavurugana sana saa hizi.
Mwigulu kasomea uchumi pale chuo kikuu hii taarifa kwamba ni mwanasheria unaitoa wapi?Huo ni uchochezi sasa
Mwanasheria nguli Dr Mwigullu Nchemba alishatoa ufafanuzi!
Mafikizolo wana nguvu sana walimtoa jasho Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete. Inzile wamepata nguvu sana ndani ya miaka hii mitano yaawamu ya tano. Na inavyoonesha Inzile wana ugomvi na Mafikizolo.Ata wakivurugana tu mama atatumia veto.
Huyo hata mwanafunzi wa certificate of law anamshinda uwezo wa Sheria.Huo ni uchochezi sasa
Mwanasheria nguli Dr Mwigullu Nchemba alishatoa ufafanuzi!
Tutamkumbuka sana yule mzee hata kama sio HADHARANI basi NAFSI zetu zitatusuta I SWEAR
Hivi kaka unaweza kuniambia watanzania wanataka nini ? SIJAJUA nini kimelikumba Taifa hili Mimi sijui kwa kweli
Naona tuna ambaa ambaa tuu
Khaaa..mbona unamchukia tena Kiongozi wetu aliyetaka katika mazingira magumu wakati wa Uviko-19 pale Chato akizingatia social distancing?Huyo hata mwanafunzi wa certificate of law anamshinda uwezo wa Sheria.
Na atazeeka na hicho cheo tu.Na kwa huyu mama anawekwa benchi mpk asahaulike.
Kwa hiyo hii kauli ya Mbatia imekuletea taharuki kweli au ni propaganda tu za jiwe?Huku kwetu ni kushurutishana sababu hayo yanafanywa na viongozi wakubwa wa kisiasa pamoja na wafuasi wao hali inyopelekea taharuki katika public π
Kule ni wananchi ambao hawana shida bali wameshiba chips kuku.
Goat republic siyo?Nafikiri mbuzi ndio wanaakisi tabia zetu vizuri maana hawajuagi mipaka yao. Wao wakiachiliwa huru wanaweza kula hata mboga kwenye shamba la Magereza πππ
Ndio inavyotakiwa,ajiuzuru Ili kama atateuliwa tena kuwa PM au VP au kuachwa mazima ,hilo linabaki la RaisMbona mnamlazimisha sana wazee, mnataka mama abaki pekeake ili mumpelekeshe jinsi mnavyojiskia [emoji16][emoji16][emoji16]!!?
Sasa kwa taarifa yenu atajiuzulu kisha atateuliwa upya acheni utoto!
Acheni mashinikizo yenu.....Majaliwa anatakiwa aonyeshe njia, anapaswa kujiuzuru ili kumpa nafasi mama Samia kuunda baraza lake la mawaziri.
Kitendo cha Majaliwa kung'ang'ania madaraka ni kitendo cha aibu kwa taifa na kinaweza kutoa ishara kuwa huenda Majaliwa ni mmoja ya wahusika wa lile genge lililohisiwa kuwa linataka kumpora mama madaraka ya kiti cha urais.
Majaliwa onyesha njia sasa.
Jiuzuru haraka iwezekanavyo.