Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Sababu za kujiuzulu ameweka mleta uzi....Huwa waziri mkuu anapojiuzulu basi automatically baraza la mawaziri linavunjika hapo hapoAjiuzulu kwa sababu zipi hasa? kwani Rais ameshavunja baraza la mawaziri?
Kuweka sawa tu hapa.Hapana tusimuonee Majaliwa. Kama katiba yetu haisemi wazi nini kinatakiwa kufanyika makamu rais akirithi urais,inabidi tuwalaaum ccm kwa kukataa katiba mpya ambayo ingeweka Kila kitu wazi na kwa utashi wa wananchi wenyewe. Kwa Sasa tumuachie Mama Suluhu atafute suruhu kwa busara zake. Ila Minyani itakayokataa katiba mpya ndiyo tuikome.
wewe utakuwa muumini wa kutumainiwa wa bwana yuleHuo ni uchochezi sasa
Mwanasheria nguli Dr Mwigullu Nchemba alishatoa ufafanuzi!
Watu wanamuogopa sana waziri mkuu wetu Majaliwa kwasabababu ni mchapakazi hodari, sasa wanataka mama Samia hasiwe na nguvu ili wampelekeshe wapendavyo, mimi namwomba huyu mama hawe mkali na mwenye msimamo.Mbona mnamlazimisha sana wazee, mnataka mama abaki pekeake ili mumpelekeshe jinsi mnavyojiskia 😁😁😁!!?
Sasa kwa taarifa yenu atajiuzulu kisha atateuliwa upya acheni utoto!
Mambo marahisi unayafanya kuwa magumu- ukirithi kampuni hubadilishi hati ya usajili.Kuweka sawa tu hapa.
Katiba imesema wazi, rais akifariki, mtu mwingine anakuwa rais. Na mtu huyo ni makamu wa urais. Urais wa Tz sio jambo la kurithishana bali ni jambo la kikatiba.
Mama Samia kwa sasa ni rais wa Tanzania mwenye mamlaka yote sawa sawa na marais wengine wote waliopita. Anapaswa kuunda serikali yake kwa kuteua baraza lake la mawaziri kama marais wengine waliopita.
Majaliwa hana kosa wala hana sababu za kukosa usingizi. Kama madame president hana guts za kumtumbua na kuvunja baraza, who is to blame? It is certainly not Majaliwa’s businessMajaliwa anatakiwa aonyeshe njia, anapaswa kujiuzuru ili kumpa nafasi mama Samia kuunda baraza lake la mawaziri.
Kitendo cha Majaliwa kung'ang'ania madaraka ni kitendo cha aibu kwa taifa..
Hana cha uanasheria wala nini huyo Pimbi zaidi ya kuogopa kupoteza cheo chake alichokipata kwa kulamba makalio .Huo ni uchochezi sasa
Mwanasheria nguli Dr Mwigullu Nchemba alishatoa ufafanuzi!
Mbatia amatoa maoni yake Wala sio Katiba/Sheria. Hivyo usitumie maoni yake kama Katiba.Nasubiri wabobezi wa sheria hapa.
Uzuri wa Mbatia uwa mkweli na muaminifu.
IdiotSio vichwa vigumu bali ni wajuaji. Ndio maana ili utawale vyema ni muhimu kuwaziba midomo wapuuzi maana watakuyumbisha katika mission yako! Hiki ndio alikifanya Magufuli akaonekana katili ila dhamira ilikua njema kabisa.
Yani kuongoza Tanzania ni sawa na kufundisha darasa la wanafunzi 200 ukitarajia kutakuwa na hali ya utulivu na ustaarabu katika kuuliza maswali na majibu ila badala yake kila mtu ananong'ona na kuropoka ovyo bila utaratibu halafu kuadhibiwa hawataki.
Wana expect wafanyiwe ustaarabu ambao wao hawana, hao ndio watanzania bana.😁
Hilo msitegemeeRais Mpya atatushangaza Watanzania na dunia kwa ujumla iwapo ataendelea kufanya kazi na Baraza la Mawaziri ambalo hakuliapisha yeye kama Rais!
Hicho kifungu kinahusu kaimu Rais hataweza kufanya mabadiliko kwakuwa Rais bado yupo isipokuwa madaraka yake yanatekelezwa na mtu mwingine kwa muda.Katiba iko wazi kabisa, ni kwa wale wasioisoma au wale wanaoisoma kwa kupindishapindisha tu kwa ajili ya ajenda zao tu. Angalia, katiba yetu inasema hivi:
View attachment 1736040
View attachment 1736041
View attachment 1736043View attachment 1736044
View attachment 1736045
Angalia kifungu kidogo hicho cha (10) nilichowekea rangi, kuwa mtu atakayechukua madaraka ya urais ama kwa kurithi kutokana na kifungu kidogo cha (3) (yaani rais kuondolewa madarakani na baraza la mawaziri) hadi kifungu kidogo cha (5) (yaani rais akifariki), hana madaraka ya kuvunja Bunge au Baraza la mawaziri au kutengua teuzi za rais aliyekuwapo.
Huyo mlapunda toka lini akawa mwanasheria,labda sheria za kuloga ndio anawezaHuo ni uchochezi sasa
Mwanasheria nguli Dr Mwigullu Nchemba alishatoa ufafanuzi!