James Mbatia amtaka Majaliwa ajiuzulu Uwaziri Mkuu

Kuna tofauti yoyote ya kiutendaji kati ya makamu wa rais anaekuwa rais, na rais mteule?
 
Watu wanamuogopa sana waziri mkuu wetu Majaliwa kwasabababu ni mchapakazi hodari, sasa wanataka mama Samia hasiwe na nguvu ili wampelekeshe wapendavyo, mimi namwomba huyu mama hawe mkali na mwenye msimamo.
Mama ni mzenji hivyo kwa ukali sina hakika ataweza kuwa mkali ila tu akiwa na waziri mkuu makini tu ndio ataongoza kwa uhuru. Anaitaji waziri mkuu na makamu wa raisi strong ili hata kama ni ushauri na utekelezaji uwe strong.

Tutaafikiana katika yote ila hatuwezi pingana na the fact kuwa rahisi wetu ni mwanamke au mama lazma atakuwa na emotional swings tu especially huruma ambazo sometimes zinaweza kuigharimu nchi.
 
What if aki opt kumrudisha Majaliwa on the same spot[emoji16] kwa sababu yeye ndio muamuzi wa Mwisho.
 
Ushauri huwa hautolewi kwa style hio ya Mbatia aliofanya. Kuna lugha yake
 
Huku kwetu ni kushurutishana sababu hayo yanafanywa na viongozi wakubwa wa kisiasa pamoja na wafuasi wao hali inyopelekea taharuki katika public 😁

Kule ni wananchi ambao hawana shida bali wameshiba chips kuku.
 
Naam sharti wale kiapo kwake ili awawajibishe vizuri, kama yeye alivyoapishwa na mawaziri waape. Kiapo ni jambo la lazima kufanya ili kulinda utii, hakuna haja ya kuchengesha hili.
 
Kuna tofauti yoyote ya kiutendaji kati ya makamu wa rais anaekuwa rais, na rais mteule?
Rais Mteule haongozi serikali mpaka aapishwe wakati Makamu wa Rais anaendelea kuongoza serikali kwa niaba ya rais aliyekuwapo madarakani kabla ya kufa hadi pale anapoapishwa upya kusihka madaraka hayo rasmi.
 
Jamaa inabidi tu achutame mana alichotafsiri ni kingine kabisa
 
oja ya kauli inayo onyesha udhalilishaji kwa kuonyesha Rais hawezi kuvunja baraza la mawaziri kwakua anamuogopa/ anamuonea aibu waziri mkuu. Nimawazo ambayo sikutegemea kama yatatolewa na Mbatia.
Rais Mteule haongozi serikali mpaka aapishwe wakati Makamu wa Rais anaendelea kuongoza serikali kwa niaba ya rais aliyekuwapo madarakani kabla ya kufa hadi pale anapoapishwa upya kusihka madaraka

Rais Mteule haongozi serikali mpaka aapishwe wakati Makamu wa Rais anaendelea kuongoza serikali kwa niaba ya rais aliyekuwapo madarakani kabla ya kufa hadi pale anapoapishwa upya kusihka madaraka hayo rasmi.
Kuna kuaminishana kuwa tunamaliza ulipoishia
Mkuu Mwigulu Nchemba hajawahi kuwa mwanasheria nadhani amejikita kwenye masuala ya fedha.
Jamaa anataka kutuchekesha tu humu
Unafikiri kuwa Waziri wa Katiba na Sheria ndiyo ubobevu wa sheria.
 
Upuuzi wa Tanzania ni Beyond repair. Huwezi kuta United States mtu anampangia raisi cha kufanya. Hamnaga huo utoto. Rais ni taasisi aachwe a act kwenye majukumu yake kwa namna ambavyo anastahiki.
Hapa kapangiwa au kashauriwa? Kama katiba imekaa kimya basi watu wana uhuru wakutoa maoni yao.
Kwanza hata kimtazamo tu huwezi kufanya kazi na baraza ambalo hawakula kiapo cha uaminifu na utii kwako.

Pili Majaliwa alipaswa kujiuzulu muda sana baada yakulidanganya Taifa kuwa Mhe Rais yu buheri wa afya anachapa kazi zake kama kawaida wakati haikuwa hivyo. Kilichotokea siku chache baada ya uongo wake kinajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…