Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Pole sana mkuuIdiot
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuuIdiot
Kuna tofauti yoyote ya kiutendaji kati ya makamu wa rais anaekuwa rais, na rais mteule?Katiba haisemi hivyo; rais mteule ni yule aliyechaguliwa kwa kura nyingi lakini bado hajaapishwa, hivyo bado kuna rais mwingine madarakani.
Huwezi kuwa na rais mteule baada ya kifo cha rais aliyeko madarakani, badala yake unakuwa na makamu wa rais ambaye ndiye anachukua nafai ya urais.
Nipe kifungu cha katiba kinachosema kuwa rais akifariki basi Makamu wake anakuwa rais mteule !! Mimi nimeshaweka aya yote ya 37 ya katiba hapa, ambayo ndiyo inaongelea utaratibu wa kumpata rais mweingine baada ya aliyepo madarakani kufariki.
Mama ni mzenji hivyo kwa ukali sina hakika ataweza kuwa mkali ila tu akiwa na waziri mkuu makini tu ndio ataongoza kwa uhuru. Anaitaji waziri mkuu na makamu wa raisi strong ili hata kama ni ushauri na utekelezaji uwe strong.Watu wanamuogopa sana waziri mkuu wetu Majaliwa kwasabababu ni mchapakazi hodari, sasa wanataka mama Samia hasiwe na nguvu ili wampelekeshe wapendavyo, mimi namwomba huyu mama hawe mkali na mwenye msimamo.
Kweli ujinga mzigo Mwigulu ni Mwanasheria NguliHuo ni uchochezi sasa
Mwanasheria nguli Dr Mwigullu Nchemba alishatoa ufafanuzi!
Ubaya ni kuwa mama hakujiandaa wala kutegemea kuwa coach.Coach mpya inabidi apange kikosi chake upya pengine anataka kucheza 3-5-2 ana achana na 5-4-1
Nafikiri mbuzi ndio wanaakisi tabia zetu vizuri maana hawajuagi mipaka yao. Wao wakiachiliwa huru wanaweza kula hata mboga kwenye shamba la Magereza 😁😁😁Tuongozwe kama mifugo ipi? Kuna ng'ombe, mbuzi, sungura nguruwe. Watu wanafuga mpaka panya.
Ushauri huwa hautolewi kwa style hio ya Mbatia aliofanya. Kuna lugha yakeKuna utofauti kati ya kutoa ushauri na kumpangia Rais cha kufanya.
Ushauri- Rais anaweza kuufuata au hasiufuate.
Kumpangia Rais cha kufanya- hapa Rais analazimika kufanya kitu, ikiwezekana bila hata utashi wake.(Sidhani kuna Raia hapa Tanzania anaweza kufanya hiki kitu except watu waliokaribu na Rais nayo ni mara chache).
Labda kama unataka watu wapunguze kutoa ushauri.
Huku kwetu ni kushurutishana sababu hayo yanafanywa na viongozi wakubwa wa kisiasa pamoja na wafuasi wao hali inyopelekea taharuki katika public 😁Mbona Marais wa nchi nyingine wanaongoza huku wakikosolewa na nchi za zinapata maendeleo kuliko TZ
Ina maana viongozi wetu ni vichwa panzi sana kiasi kuwa sauti kidogo tu za maoni tofauti zinawachanganya Hadi wanashindwa kazi?
Jiwe alikuwa kichwa panzi kiasi hicho au ni kiburi?😂
Mama Samia nae wataishia kumkandia tu acha muda utaongeaTutamkumbuka sana yule mzee hata kama sio HADHARANI basi NAFSI zetu zitatusuta I SWEAR
Hivi kaka unaweza kuniambia watanzania wanataka nini ? SIJAJUA nini kimelikumba Taifa hili Mimi sijui kwa kweli
Naona tuna ambaa ambaa tuu
Tangu lini MDL system akawa mwanasheria nguli?
Ujinga huo asingeweza kuufanya kwa Magufuli ila mama atakuwa mtu wa kupiga mabiti tu😁Pumzi imepatikana sasa
Rais Mteule haongozi serikali mpaka aapishwe wakati Makamu wa Rais anaendelea kuongoza serikali kwa niaba ya rais aliyekuwapo madarakani kabla ya kufa hadi pale anapoapishwa upya kusihka madaraka hayo rasmi.Kuna tofauti yoyote ya kiutendaji kati ya makamu wa rais anaekuwa rais, na rais mteule?
Mkuu Mwigulu Nchemba hajawahi kuwa mwanasheria nadhani amejikita kwenye masuala ya fedha.Huo ni uchochezi sasa
Mwanasheria nguli Dr Mwigullu Nchemba alishatoa ufafanuzi!
Jamaa inabidi tu achutame mana alichotafsiri ni kingine kabisaZangu zipi jadili hoja usiwe na mihemko tulia soma ibara hiyo yote utaelewa maudhui yake imeelezea watakao kaimu nafasi Rais na namna ya makamu kuwa Rais kwa tafsiri yako maana yake mh Rais Samia hawezi tengua uteuzi wa waziri yoyote mpaka amalize 2025 ? Inaingia akilini?
Rais Mteule haongozi serikali mpaka aapishwe wakati Makamu wa Rais anaendelea kuongoza serikali kwa niaba ya rais aliyekuwapo madarakani kabla ya kufa hadi pale anapoapishwa upya kusihka madaraka
Kuna kuaminishana kuwa tunamaliza ulipoishiaRais Mteule haongozi serikali mpaka aapishwe wakati Makamu wa Rais anaendelea kuongoza serikali kwa niaba ya rais aliyekuwapo madarakani kabla ya kufa hadi pale anapoapishwa upya kusihka madaraka hayo rasmi.
Jamaa anataka kutuchekesha tu humuMkuu Mwigulu Nchemba hajawahi kuwa mwanasheria nadhani amejikita kwenye masuala ya fedha.
Hapa kapangiwa au kashauriwa? Kama katiba imekaa kimya basi watu wana uhuru wakutoa maoni yao.Upuuzi wa Tanzania ni Beyond repair. Huwezi kuta United States mtu anampangia raisi cha kufanya. Hamnaga huo utoto. Rais ni taasisi aachwe a act kwenye majukumu yake kwa namna ambavyo anastahiki.