Ikisema ulimwengu unatanuka itakua bingo kwao, lakini katika historia ya sayansi tunazo takwimu zinazoonesha sayansi ikijokosoa yenyewe
Sasa ikitokea imesema ulimwengu hautanuki tutasemaje??
Nitasema sayansi ipo makini, haya wewe utasemaje kuhusu vitabu vyako?Wewe Utasemaje Kama Ikisema Ulimwengu Unatanuka
Chombo anga kwa ajili ya kusaidia shughuli za kiuchunguzi katika anga la mbali James Web TELESCOPE 🔭 kimeondoka rasmi duniani na kuelekea katika eneo lake la kiuchunguzi huko katika space mile 1500000 kutokea duniani.
James Web telescope ni mradi uliutumia zaidi ya trillion 22.3 na kuchukua zaidi ya miaka 10 kukamilika.
James Web Space telescope (JWST) inaenda kufanya nini?
Mission objectives
JWST bila ubishi ndo most advanced machine ever built by human being.
- JWST inaenda kuisaidia NASA kufanya uchunguzi wa chanzo cha ulimwengu huu.
- WST inaenda kusaidia astronomy na cosmology kuweza kuona galaxy za mwanzo baada ya tukio la bing bang theory.
- JWST inaenda kusaidia pia kuweza kujifunza namna sayari,galaxy na nyota za mbali zilivyo evolve overtime.
- JWST inaenda kutafuta uwepo wa viumbe vingine na uhai katika planets zilizoko katika nyota nyingine.
- JWST inaenda kuchungua eneo muhimu sana katika galaxy yetu linaitwa HABITABLE ZONE kuangalia uwepo wa sayari nyingine zinazo support uhai kama dunia yetu.
Hebu pia hizi fact hapa
1.JWST inaenda kusaidia wanasayansi kuangalia nyuma ya muda.
With the new telescope, astronomers are hoping to study the very first stars and galaxies in the universe to understand its secrets.
Jwst ni some kind of time machine.inaturudisha nyuma by vision.
2. A better understanding of our universe's history.
All images taken by Hubble reflect not only galactic systems but also a collection of the universe's history. With Hubble, scientists were able to peek into galaxies that formed 400 million years after the Big Bang.
James Webb Telescope may be able to bridge that gap and show images from 250 million years after the Big Bang, taking us closer to the starting point of our universe.
Besides just seeing galaxies, the new telescope will bring more detail to all images including spiral arms, more light, and better structure.
JWST itatupa picha ya galaxies zilizokuwa formed miaka 250 baada ya tukio la bingbang theory.
3. Infrared lighting
Hubble space telescope ilikuwa inachukua picha kupitia ultra violet (visible light)
lakini JWST iko advanced zaidi inatumia Infrared lighting. Hapa itapata picha na details za ziada zaidi katika picha husika mfano kama ita view exoplanet basi itatuletea details za ziada kama uwepo wa VIUMBE hai,maji,gravity etc.
With infrared imaging, astronomers may be able to peek into extremely old galaxies owing to a process called "redshifting" wherein light is stretched as it appears and disappears, leaving a red trail behind. With infrared, Webb will be able to capture extremely old galaxies that are currently being pushed farther away from Earth and becoming redder. That's how you look back in time!
References
Quick Facts
Quickly find answers to commonly asked questions about the Webb Telescope (JWST) mission, or submit a question we may have missed on site.webbtelescope.org
Nitafurahi sana kama kuna mwenye swali atapost hapo chini nitamjibu kadiri ya taarifa nilizoko nazo.
Sasa Mkuu,Chombo anga kwa ajili ya kusaidia shughuli za kiuchunguzi katika anga la mbali James Web TELESCOPE 🔭 kimeondoka rasmi duniani na kuelekea katika eneo lake la kiuchunguzi huko katika space mile 1500000 kutokea duniani.

Kila kitu kina mwanzo wake..kama darubini hiyo haikujitokeza yenyewe tu kuna watu wenye akili walibuni...na wewe hauna tofauti kubwa na darubini au roboti lililotengenezwa maabara lakini kuna kitu umependelewa mwanadamu kuliko viumbe vyote tafuta na ujue ni kipi..pia fikiria kuhusu DNAHii dunia itafika wakati vizazi vya karne kumi zijazo watakuwa wanatushangaa sisi ni vp tuliamini Mungu ni muumba wa ulimwengu kama sisi tunavovishangaa vizazi vya karne 10 nyuma ni vipi waliamini kuwa mawe, miti na milima ndio miungu iliyowatatulia shida zao.
🙂🙂🙂🙂🙂🙂Mike labda nikugeuzie kibao,je unaamini kwamba Marekani wametua mwenzini?Labda nijaribu kukusaidia kujibu swali hilo.
Kazi za Shetani ni kuua,kuiba na kudanganya.Shetani ni mwongo na baba wa uongo na tangu alipofukuzwa mbinguni,kweli haikuonekana ndani yake.Nikukumbushe kwamba hao wanaodai wamefika mwezini ni watoto wa Shetani na mtoto wa Mbwa ni Mbwa!
kwanini umefikiri swala la watu kwenda mwezini lina walakini?Mike labda nikugeuzie kibao,je unaamini kwamba Marekani wametua mwenzini?Labda nijaribu kukusaidia kujibu swali hilo.
Kazi za Shetani ni kuua,kuiba na kudanganya.Shetani ni mwongo na baba wa uongo na tangu alipofukuzwa mbinguni,kweli haikuonekana ndani yake.Nikukumbushe kwamba hao wanaodai wamefika mwezini ni watoto wa Shetani na mtoto wa Mbwa ni Mbwa!
Tunaposema kwamba kinaenda kuangalia matukio ya ukimwengu yaliyotokea miaka billion 13.8 iliyopita ni kwa sababu ulimwengu unatanuka so kina detect taarifa za miaka ya kipindi hicho kwa kutumia infrared.Vipi Kama Ikisema Ulimwengu Unatanuka
Ndiyo. James web imeundiwa website kwa ajili ya kutoa live updates kwa wananchi. Webb's Launch GSFC/NASASasa Mkuu,
kwa kutumia computer, naweza kufuatilia jinsi hiyo Telescop inavyoondoka duniani?
Ama niendelee kusuburiri mrejesho kutoka kwako?
Yes, Tunataka kufahamu je bing bang ilitokea tu yenyewe bila akili ya kiumbe mwenye akili zaidi kuliko vyote katika universe? Roman Catholic kwa ukaribu kabisa wako mbele katika space exploration ili kuweza kupata jawabu ya hili swali la uwepo wa Mwenyezi Mungu.Kila kitu kina mwanzo wake..kama darubini hiyo haikujitokeza yenyewe tu kuna watu wenye akili walibuni...na wewe hauna tofauti kubwa na darubini au roboti lililotengenezwa maabara lakini kuna kitu umependelewa mwanadamu kuliko viumbe vyote tafuta na ujue ni kipi..pia fikiria kuhusu DNA
Hebu nambie namna zilivyotajwa humo zimetajwaje
Tafsiri ya heaven kwa kiswahili ni nini mzee?In the Qur'an 51:47, Allah says; "And the heaven we built with our own power and indeed we go on EXPANDING it". [That's for expanding universe]
In the Qur'an 21:30 Allah says; " Do not unbelievers see that the heaven an the earth were closed up mass then we clove them asunder and we made from water every living thing , will they not then believe?". [That's for the big bang]
In the Qur'an 21:104 Allah says; "Remember the day when we shall roll up the heavens like the rolling of scrolls as we began the first creation so shall we repeat it, a promise binding on us that we shall certainly fulfill". [The black hole and reemergence of the universe--- repeated big bang ].
In the Qur'an 42:29 Allah says; "And among his signs is the creation of the heavens and the earth and whatever living creatures he has spread firth in both and He has the power to gether them together when He will so please". [Meeting with extraterrestrials living creatures when God so pleases].
Tafsiri ya heaven kwa kiswahili ni nini mzee?
Ila we jamaa eti kiswahili kina maana finyu, unanipa maana ya kingereza halafu unanitaka niachane na hiyo ya kwanzaKiswahili kina maana finyu ya neno heaven angalau Kiingereza kidogo chukua hiyo maana ya pili, ( السماء )
View attachment 2064473
Ila we jamaa eti kiswahili kina maana finyu, unanipa maana ya kingereza halafu unanitaka niachane na hiyo ya kwanza
Mimi navyoona hapo heaven ni peponi, na ndio ipo katika muktadha wa kidini
Kwani mbinguni sio pepo?Weeee!, mwaka mpya unakuja na mambo mapya??!🤣
Heaven lini ikawa ni pepo??, na Paradise itakuwa nini??
Literaly heaven ni mbingu above the sky, heavenly bodies ndio nyota , sayari, jua, asteroid, nk.
Kwani mbinguni sio pepo?
Heeeh basi mi sijui, lakini hii nimeitoa kwenye cambrige dictionary
Heaven in some religions, the place, sometimes imagined to be in the sky, where God or the gods live and where good people are believed to go after they die, so that they can enjoy perfect happiness
Kwa hiyo kinyume cha heaven sio hell?
Kiukweli uliponiambie paradise ndio heaven imenifanya niangalie maana yake online maana ninavyojua mimi paradise ni maisha ambayo walikua wanaishi kina adam na eva hapa duniani pale eden, lakini peponi ni maisha ambayo yapo mbinguni kwa wale waliotenda mema
View attachment 2064508
Na hapa ndipo nilipokuta kumbe on other hand neno paradise lina maana mbili linawakilisha heaven vile vile.
Hiyo heaven ya sky sio katika muktadha wa dini, heaven ya kidini imezungumzia makazi ya mungu
Kama katika uislam pepo ni jannah na firdaus itakuwa ni nini?Unaona hiyo definition yako inakufunga wewe mwenyewe, inaanza; "heaven in some religions----".
Mimi nazungumzia katika dini ya kiislamu ambapo mbingu ni ni mbingu tu na sio pepo, katika kiarabu mbingu ni السماء assamaa' na zikiwa nyingi ni السموات assamawaati, katika kiingereza ndio heaven na heavens, katika dini ya kiislamu pepo ni الجنة (Jannah) na wala sio االسماء (assamai), hivyo neno heaven katika zile aya maana yake ni mbingu iliyopo juu ya anga letu ambamo kuna all heavenly bodies.
Nakubali kwamba katika dini zingine neno heaven can "informally" interchangebly be used to mean paradise lakini sio katika dini ya kiislamu hususan katika Quran ambapo heaven ni literaly heaven na paradise ndio pepo yaani jannah.
Kama katika uislam pepo ni jannah na firdaus itakuwa ni nini?
Nimeangalia tafsiri ya neno jannah kwa mujibu wa wikipedia imefafanua ni paradise inayomaanisha maisha waliyopitia adam na hawa pale edeni, (unaweza kuniweka sawa hapa kama nimenukuu vibaya)
Lakini pia yapo maelezo yanayo jaribu kutoa ufafanuzi kati ya maneno mawili "jannah vs heaven"
Ambapo mara kadhaa Quran imetumia neno jannah kuwakilisha heaven kua ni sehemu ambayo waumini wamepewa kama zawadi kuishi baada ya kifo, kwa muktadha huo ni kwamba heaven ni pepo ambayo imetengwa kwa wafanyao mema, sasa kivipi tena heaven ije na tafsiri nyingine ya ulimwengu?
majibu wanayotoa ni yale ya kawaida sana ambayo hayawezi kuleta taharuki kwa watu wa dunia.Dah!, sayansi hii.
Minasubiri kwa hamu majibu yatokanayo na huo utafiti mpya wa darubini ya James Web huko anga za juu.
In the Qur'an 42:29 Allah says; "And among his signs is the creation of the heavens and the earth and whatever living creatures he has spread forth in both and He has the power to gether them together when He will so please". [Meeting with extraterrestrials living creatures when God so pleases].