James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

Kumbe hatuelewani!!😏, Qur'an kulingana na ile aya 21:30 inazungumzia formation ya the Big bang jinsi wanasayansi wanavyo theorise leo, ninachosema kwa wanasayansi ni kwamba The big bang is no longer a theory rather a reality and facts.

Nasema hivi; Ukweli ni shared bounty from Allah to all human beings, ukweli ukipatikana kwa yeyote yule hiyo ni mali ya mtu mwema na ni lazima ukweli huo uwe umetoka kwa Allah kwani Uongo ni mali ya shetani na ukweli ni mali ya Mungu.
Kupitia hiyo aya uliyonipa Quran inaongelea heaven na earth, point yangu mimi iko hapo kwamba wakati Bing bang inafanyika hakukuwa na heaven wala earth, hakukuwa na chochote rather than energy, je Quran ndicho ilicho kiandika?

Je Quran imezungumza kuhusu kumwagika kwa tiny particles ambazo zili form atom ambapo hizo atoms ndo zilikuja kuungana pamoja na ku form stars na galaxies?

Je Allah amesema kwenye huo mchakato aliumba nyota kubwa iliyozalisha makundi ya atoms ambayo yalipelekea kuzaliwa kwa nyota zingine na namna asteroids, comets, blackhole, planet zilivyo anza?

Sasa kama katika hayo yote hakuna kilichoelezwa kwenye hizo aya utasemaje kilichoelezwa pale ni bing bang?

Kwa hiyo ukiniambia hiyo verse imeongea kuhusu bing bang utakuwa unaniongopea labda kama unataka kutuaminisha kwamba earth na heaven zilikuwepo miaka bilion 14 iliyopita kipindi bing bang ina fanyika
 
Ukinipa ushahidi ya kuwa hii dunia ni matokeo ya The Big Bang theory hii ID yangu nitaomba ifungwe na wewe utakuwa shahidi juu ya hili.

Hivi hizi akilo mlizo pewa inakuwaje mnazitumia vibaya namna hii ?
kabla ya kufanya hivyo ebu kwanza kamuulize muislamu mwenzako ambaye anasema Quran imeandika habari za bing bang mkisha fika muafaka mkakubaliana na jibu moja njoo uniulize tena swali lako
 
Heaven simply means groups of heavenly bodies gliding in the space.
Okay 👍 Sawa mkuu...kama Ni Hizo basi kumbe unamaanisha matter/mass.

Sasa nimepata swali,Hivi kama matter yoyote haiwezi kusafiri kuzidi speed ya mwanga (E=mc2) inawezekanaje hizi 'heavens' zinazoexpand zinaexpand kwa speed kubwa kuliko mwanga kulingana na observation ya telescope?
 
Ukimuona mtu anasema Qur'aan imeongelea Big Bang huyo haijui Qur'aan wala haijui The Big Bang theory.

Nakuuliza swali kwanza hivi ni upi msingi mama "Nadharia (Theory)" ?
Maswali kama haya ungemuuliza Mokaze ambaye anatumia Quran hiyo hiyo, vinginevyo labda uniambie kua nyinyi wawili mnatumia Quran zinazotofautiana na kupingana
 
wewe ostadh mwongo sana Kila mtu mwenye kutumia fahamu zake vema anajua Uislam ulianzishwa na Mohammed Miaka ya 600 AD huko hiyo ya kusema ilianza enzi za Adam kawadanganye watoto huko madrasa maana ndio zenu!
Historia haidanganyi!
hawa wazee wa kubadilisha nyeusi kuwa nyeupe...mbaya wanakaririshwa haya tangu utotoni kabisa tena kwa fimbo nyingi hata wakipewa evidence za history hawaamini
 
Unaweza kuniambia Qur'aan imekopiwa tokea wapi ?
Ancient religion inaitwa Summerian ambayo inaabudu Mungu Enlil

Hiyo ni dini ambayo ili exist miaka 1k kabla ya uislamu wala Quran, dini hiyo ndio ilikuwa ya kwanza kuandika hayo maneno ambayo hapa tunabishana kwamba kayaandika allah huyu tuliyemjua kuanzia karne ya 6
 
Haya sasa waislam tumieni quran yenu saivi kutakbiri hiyo James webb telescope itagundua nini .....sio ikishaanza kugundua vitu ndo muanze kuja na vifungu eti ahaaaa Quran iliyajua hayo tokea zamani😆
😂🤣
 
Kupitia hiyo aya uliyonipa Quran inaongelea heaven na earth, point yangu mimi iko hapo kwamba wakati Bing bang inafanyika hakukuwa na heaven wala earth, hakukuwa na chochote rather than energy, je Quran ndicho ilicho kiandika?

Je Quran imezungumza kuhusu kumwagika kwa tiny particles ambazo zili form atom ambapo hizo atoms ndo zilikuja kuungana pamoja na ku form stars na galaxies?

Je Allah amesema kwenye huo mchakato aliumba nyota kubwa iliyozalisha makundi ya atoms ambayo yalipelekea kuzaliwa kwa nyota zingine na namna asteroids, comets, blackhole, planet zilivyo anza?

Sasa kama katika hayo yote hakuna kilichoelezwa kwenye hizo aya utasemaje kilichoelezwa pale ni bing bang?

Kwa hiyo ukiniambia hiyo verse imeongea kuhusu bing bang utakuwa unaniongopea labda kama unataka kutuaminisha kwamba earth na heaven zilikuwepo miaka bilion 14 iliyopita kipindi bing bang ina fanyika

Kabla ya the big bang mass zote zilikuwa Collapsed into SINGULARITY katika Black hole, katika hali hiyo huwezi kusema kulikuwepo na Heaven na earth etc wakati all the masses and Energies of all forms were pressed into Black hole to form "Singularity", ni hiyo singularity ndiyo iliyolipuka (big banged) na kuzaliwa the all heavenly bodies (Heavens and the earth in particular), ni kutokana na huo mlipuko ndio maana Heavens and the earth (to be precise the all heavenly bodies) are moving away from the centre of the explosion (the centre of the big bang).

Ninaposema mass zote na all forms of energies were Collapsed into singularity mtu anaweza kuuliza je hiyo singularity ilikuwa katika hali gani?? --- Katika Liquid, Solid, gases, plasma au in some form of energies etc???---labda science iendelee kutafiti na kutuambia ilikuwa katika form ipi kwani Qur'an mara nyingi huweka msingi wa somo kwa ajili yetu kwani kama Qur'an ingaliandika kila kitu in detail basi ingehitajika gari la kuibeba na hata kuisoma ingalikuwa shida na sijui kama angepatikana mtu aliyeihifadhi yote.

Juu ya yote Qur'an bado inatuhabarisha kwamba hii universe inayo expand itarudishwa nyuma (recoil) na kuingia ndani ya black hole na kuripuka tena (big banged) na hali hiyo itakuwa recurring hadi pale Allah atakapo penda vinginevyo, hebu soma aya hii;

"Remember the day We shall roll up the heavens like the rolling up of Scrolls, As we began the first creation, so shall We repeat it; a promise binding on us; We shall certainly fulfil."

Qur'an (21:105).

Ile Singularity katika black hole hapa Allah ameiita: "the first creation ".
 
wewe ostadh mwongo sana Kila mtu mwenye kutumia fahamu zake vema anajua Uislam ulianzishwa na Mohammed Miaka ya 600 AD huko hiyo ya kusema ilianza enzi za Adam kawadanganye watoto huko madrasa maana ndio zenu!
Historia haidanganyi!
Poa.
 
kabla ya kufanya hivyo ebu kwanza kamuulize muislamu mwenzako ambaye anasema Quran imeandika habari za bing bang mkisha fika muafaka mkakubaliana na jibu moja njoo uniulize tena swali lako
Tabia ya kukimbia maswali utaiacha lini ?

Kingine nimeshasema hivi yeyote anae sema ya kuwa Qur'aan imeongelea Big Bang havijui viwili hivyo (Yaani Qur'aan na The Big Bang theory). Kwahiyo usipoteze muda katika hili.

Thibitisha ya kuwa The Big Bang ni ukweli.
 
Ukristo gani ulitangulia kabla ya Uislamu ?

Uislamu upo tangu zama za nabii Adamu na mitume wote na manabii walikuwa Waislamu.
Hii uliyoiandika hapa inatumika huko misikitini na kwenye mikutano ya hadhara ambapo watu hata hawajisumbui kuhoji

Hapa dhana hiyo haifanyi kazi, wote tunajua uislamu umekuja karne ya 7 ukianzia mecca baada ya kuanzishwa na muhammad, hizo habari za kusema adam ukawaongopee madrasa sio hapa
 
Maswali kama haya ungemuuliza Mokaze ambaye anatumia Quran hiyo hiyo, vinginevyo labda uniambie kua nyinyi wawili mnatumia Quran zinazotofautiana na kupingana
Huyo namjua vizuri Qur'aan haijui sababu yeye ni Qadian na Uqadian ni Ukafiri sababu unapingana na Qur'aan na Hadithi za Mtume.

Kwahiyo hatumzingatii.
 
Tabia ya kukimbia maswali utaiacha lini ?

Kingine nimeshasema hivi yeyote anae sema ya kuwa Qur'aan imeongelea Big Bang havijui viwili hivyo (Yaani Qur'aan na The Big Bang theory). Kwahiyo usipoteze muda katika hili.

Thibitisha ya kuwa The Big Bang ni ukweli.
Nakimbia maswali au najaribu kukuwekea wigo mpana wa kupata majibu yako?

Kwani wewe huamini Quran ambayo imeelezea formation ya bing bang?
 
Hii uliyoiandika hapa inatumika huko misikitini na kwenye mikutano ya hadhara ambapo watu hata hawajisumbui kuhoji

Hapa dhana hiyo haifanyi kazi, wote tunajua uislamu umekuja karne ya 7 ukianzia mecca baada ya kuanzishwa na muhammad, hizo habari za kusema adam ukawaongopee madrasa sio hapa
Nimecheka sana.

Unatakiwa ujenge hoja siyo vioja kama unavyo andika hapa.
 
Huyo namjua vizuri Qur'aan haijui sababu yeye ni Qadian na Uqadian ni Ukafiri sababu unapingana na Qur'aan na Hadithi za Mtume.

Kwahiyo hatumzingatii.
Nilikua sijui kama ndani ya waislamu kuna makafiri tena, nikimtag Mokaze sijui ata react vipi kuona silaha ambayo mmekuwa mkiitumia kwetu leo imemgeukia yeye. Bora sijamtag

Anyway, ebu niambie kwa mujibu wa maelezo yako ike aya Quran 21:30 imezungumzia kitu gani ambacho kwa mujibu wako sio bing bang?
 
Nakimbia maswali au najaribu kukuwekea wigo mpana wa kupata majibu yako?

Kwani wewe huamini Quran ambayo imeelezea formation ya bing bang?
Usinitoe katika nukta ya msingi jibu swali nililo kuuliza.

Hakuna Qur'aan iliyo ongelea The Big Bang,kingine msichokijua ni kuwa The Big Bang haelezei chanzo cha ulimwengu bali inajaribu kuelezea kutokea (Evolving).
 
Nimecheka sana.

Unatakiwa ujenge hoja siyo vioja kama unavyo andika hapa.
Kuna hoja gani ambayo wewe uliijenga kwenye andiko lako kwamba yislam ulikuwepo tangu enzi za adam?

Kama hiyo ni hoja basi utofauti upo katika definition ya neno hoja
 
Back
Top Bottom