mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ndo nakuuliza wewe unazo AKILI?
AKILI ni Nini ufafanuzi please?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AKILI ni Nini ufafanuzi please?
Usinilazimishe cha kusema...Sema wewe na wenzio ndio mkuu busy na hayo makitu
Mirinda imeshuka thamani sana😂😂😂Mkuu umenichekeshaje. Vipi unayo mirinda unipasie
Kupitia hiyo aya uliyonipa Quran inaongelea heaven na earth, point yangu mimi iko hapo kwamba wakati Bing bang inafanyika hakukuwa na heaven wala earth, hakukuwa na chochote rather than energy, je Quran ndicho ilicho kiandika?Kumbe hatuelewani!!😏, Qur'an kulingana na ile aya 21:30 inazungumzia formation ya the Big bang jinsi wanasayansi wanavyo theorise leo, ninachosema kwa wanasayansi ni kwamba The big bang is no longer a theory rather a reality and facts.
Nasema hivi; Ukweli ni shared bounty from Allah to all human beings, ukweli ukipatikana kwa yeyote yule hiyo ni mali ya mtu mwema na ni lazima ukweli huo uwe umetoka kwa Allah kwani Uongo ni mali ya shetani na ukweli ni mali ya Mungu.
kabla ya kufanya hivyo ebu kwanza kamuulize muislamu mwenzako ambaye anasema Quran imeandika habari za bing bang mkisha fika muafaka mkakubaliana na jibu moja njoo uniulize tena swali lakoUkinipa ushahidi ya kuwa hii dunia ni matokeo ya The Big Bang theory hii ID yangu nitaomba ifungwe na wewe utakuwa shahidi juu ya hili.
Hivi hizi akilo mlizo pewa inakuwaje mnazitumia vibaya namna hii ?
Okay 👍 Sawa mkuu...kama Ni Hizo basi kumbe unamaanisha matter/mass.Heaven simply means groups of heavenly bodies gliding in the space.
Maswali kama haya ungemuuliza Mokaze ambaye anatumia Quran hiyo hiyo, vinginevyo labda uniambie kua nyinyi wawili mnatumia Quran zinazotofautiana na kupinganaUkimuona mtu anasema Qur'aan imeongelea Big Bang huyo haijui Qur'aan wala haijui The Big Bang theory.
Nakuuliza swali kwanza hivi ni upi msingi mama "Nadharia (Theory)" ?
hawa wazee wa kubadilisha nyeusi kuwa nyeupe...mbaya wanakaririshwa haya tangu utotoni kabisa tena kwa fimbo nyingi hata wakipewa evidence za history hawaaminiwewe ostadh mwongo sana Kila mtu mwenye kutumia fahamu zake vema anajua Uislam ulianzishwa na Mohammed Miaka ya 600 AD huko hiyo ya kusema ilianza enzi za Adam kawadanganye watoto huko madrasa maana ndio zenu!
Historia haidanganyi!
Ancient religion inaitwa Summerian ambayo inaabudu Mungu EnlilUnaweza kuniambia Qur'aan imekopiwa tokea wapi ?
Kupitia hiyo aya uliyonipa Quran inaongelea heaven na earth, point yangu mimi iko hapo kwamba wakati Bing bang inafanyika hakukuwa na heaven wala earth, hakukuwa na chochote rather than energy, je Quran ndicho ilicho kiandika?
Je Quran imezungumza kuhusu kumwagika kwa tiny particles ambazo zili form atom ambapo hizo atoms ndo zilikuja kuungana pamoja na ku form stars na galaxies?
Je Allah amesema kwenye huo mchakato aliumba nyota kubwa iliyozalisha makundi ya atoms ambayo yalipelekea kuzaliwa kwa nyota zingine na namna asteroids, comets, blackhole, planet zilivyo anza?
Sasa kama katika hayo yote hakuna kilichoelezwa kwenye hizo aya utasemaje kilichoelezwa pale ni bing bang?
Kwa hiyo ukiniambia hiyo verse imeongea kuhusu bing bang utakuwa unaniongopea labda kama unataka kutuaminisha kwamba earth na heaven zilikuwepo miaka bilion 14 iliyopita kipindi bing bang ina fanyika
Poa.wewe ostadh mwongo sana Kila mtu mwenye kutumia fahamu zake vema anajua Uislam ulianzishwa na Mohammed Miaka ya 600 AD huko hiyo ya kusema ilianza enzi za Adam kawadanganye watoto huko madrasa maana ndio zenu!
Historia haidanganyi!
Tabia ya kukimbia maswali utaiacha lini ?kabla ya kufanya hivyo ebu kwanza kamuulize muislamu mwenzako ambaye anasema Quran imeandika habari za bing bang mkisha fika muafaka mkakubaliana na jibu moja njoo uniulize tena swali lako
Hii uliyoiandika hapa inatumika huko misikitini na kwenye mikutano ya hadhara ambapo watu hata hawajisumbui kuhojiUkristo gani ulitangulia kabla ya Uislamu ?
Uislamu upo tangu zama za nabii Adamu na mitume wote na manabii walikuwa Waislamu.
Huyo namjua vizuri Qur'aan haijui sababu yeye ni Qadian na Uqadian ni Ukafiri sababu unapingana na Qur'aan na Hadithi za Mtume.Maswali kama haya ungemuuliza Mokaze ambaye anatumia Quran hiyo hiyo, vinginevyo labda uniambie kua nyinyi wawili mnatumia Quran zinazotofautiana na kupingana
Nakimbia maswali au najaribu kukuwekea wigo mpana wa kupata majibu yako?Tabia ya kukimbia maswali utaiacha lini ?
Kingine nimeshasema hivi yeyote anae sema ya kuwa Qur'aan imeongelea Big Bang havijui viwili hivyo (Yaani Qur'aan na The Big Bang theory). Kwahiyo usipoteze muda katika hili.
Thibitisha ya kuwa The Big Bang ni ukweli.
Nimecheka sana.Hii uliyoiandika hapa inatumika huko misikitini na kwenye mikutano ya hadhara ambapo watu hata hawajisumbui kuhoji
Hapa dhana hiyo haifanyi kazi, wote tunajua uislamu umekuja karne ya 7 ukianzia mecca baada ya kuanzishwa na muhammad, hizo habari za kusema adam ukawaongopee madrasa sio hapa
Nilikua sijui kama ndani ya waislamu kuna makafiri tena, nikimtag Mokaze sijui ata react vipi kuona silaha ambayo mmekuwa mkiitumia kwetu leo imemgeukia yeye. Bora sijamtagHuyo namjua vizuri Qur'aan haijui sababu yeye ni Qadian na Uqadian ni Ukafiri sababu unapingana na Qur'aan na Hadithi za Mtume.
Kwahiyo hatumzingatii.
Usinitoe katika nukta ya msingi jibu swali nililo kuuliza.Nakimbia maswali au najaribu kukuwekea wigo mpana wa kupata majibu yako?
Kwani wewe huamini Quran ambayo imeelezea formation ya bing bang?
Kuna hoja gani ambayo wewe uliijenga kwenye andiko lako kwamba yislam ulikuwepo tangu enzi za adam?Nimecheka sana.
Unatakiwa ujenge hoja siyo vioja kama unavyo andika hapa.