Jamii za Pwani malezi ya watoto yamewashinda. Dini imeshindwa kuwasaidia pia

Wanaingiza udini(dini fulani)mbona hatujawahi ona shule kama al muntazir wakifanya mambo hayo
Hao watoto inaelekea wanataka kutrend tu
Na kutokana mazingira yaliyowazunguka

Ova
 
Mshapewa green light 😄

Ova
 
Ila sheria imeshupaza shingo kwa kumfunga mtoto wa kiume miaka 30 bila huruma akigundulika katembea na hivyo vitoto...
Watoto wenyewe sasa wanaotetewa, wana experience kuliko hata hizo sheria zenyewe...


Cc: Mahondaw
 
Mtibeli, hii iweke kama Uzi wako Bro. Nataka Ni Subscribe

Umemaliza kila Kitu .....✍️
 
mtoto anakesha kwenye kigoma mpaka asubuhi akirudi nyumbani mzazi hamwambii chochote
Miaka fulani nlikuwa na mradi wangu mmj hapo mwarusembe dah,kila nkitafuta wafanyakazi naambiwa wako ngomani
Nlijipanga nlikuja kuwaleta team toka usukumani ahh
Waliwafundisha kazi
Maana mara leo kuna kibeseni, sjui mtoto anatoka,ngoma kwa flani
😄
Bado hujaenda kisarawe
Balaa
Ukienda kusini sasa umakondeni ukutane na mambo ya unyago ahh lkn ndy culture hiyo

Ova
 
woi culture gan hiyo ya kuendekeza uvivu
kazi kidogo waanataka malipo makubwa
na akifanya kazi ukamlipa leo kesho humuoni mpaka ile uliyomlipa iishe ndio atarudi kuendelea na kibarua
 
Sina haja ya kujua dini yako.
Nimekujibu kutokana na chuki zako dhid ya dini yetu ya uislam.
Tanzania dini kuu ni mbili.kama sio muislam basi mkristo
Na kama Hauna dini ni juu yako
Mkorofi asiyejua kujishikia
 
Niliwahi kufanya kazi na NGO moja maeneo ya Pwani na tukawa tunashangaa inakuwaje eate ya mimba za utotoni sio kubwa Pwani, kutafiti tukagundua ni jamii ambayo watoto wanakuwa introduced kwa vizuia mimba mapema sana na chankushangaza wengine hushauriana kutumia njia ile nyingine ili wasipate mimba🙆‍♂️ hivyo sio rahisi kushika mimba mapema.

Japo malezi ni janga la kitaifa lakini hizi jamii za Pwani ni jamii ambazo tangu enzi wamekuwa wakipwaya katika malezi sana na inachochewa na tamaduni zao. Na sidhani kama dini ya kiislamu inahusika.
 
Ni laana kuwa muislam,ni vile mko brain washed beyond repair.
 
Pwani jamii haiwabani wanajionyesha.

Bara jamii ina wabana hawajionyeshi ila wamo sana.
Kabisa na ndio tofauti iliyopo. Ukiingia bara kwenye baadhi ya vijiji, kwenye sehemu za wazi huwezi jua micharuko ni kina nani kirahisi hadi wenyeji wakuambie maana wasichana karibia wote wakiwa mbele za watu, kuna aibu na staha flani wanakuwa nayo.

Pwani hawajifichi sana na ile tabia ya kuongea sana inawafanya wajiamini zaidi
 
Hakika mkuu, umeiweka vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…