Tukitaka kuwachukua si huwa mnakimbilia usitawi wa jamii na serikali inawakingia kifua?wewe unashindwa nini kung’ang’ania pia? Kuna umri mtoto anaweza lelewa na baba, unaweza vumilia ukamchukua kama umeshindwa mwanzoni!
Sasa mkuu kukosa kijiko ndio sababu ya ww kuacha mwanao awe shoga? Usitulaani wote kisa mwanao! Jipange chukua mwanao mlee! Wanaofira watoto ni wanaume sio wanawake msilaani watu hovyo!Sio kweli
Me wakati yule khanisi wa kike anaondoka alihakikisha sina hata kijiko cha kunywea SUPU kesho sina.! 🤭
Ameondoka mpaka jiko la mkaa kalichukua kama si Nongwa ni nini.!?
Eti nichukue mwanangu wakati kila kitu umesepa nacho unataka alelewe na mama ntilie.!
Sema nyie ndio chanzo cha mashoga wengi.. mlaaniwe
Pole sana Mkuu.Me wakati yule khanisi wa kike anaondoka alihakikisha sina hata kijiko cha kunywea SUPU kesho sina.! 🤭
Sema nyie ndio chanzo cha mashoga wengi.. mlaaniwe
Swali zuri! Siku hizi wanawatibua wakiondoka wanakuja kuwatukana mitandaoni na kuwaita majina ya ajabu! Mtu hawezi kuondoka kama kichaa kwa mwanaume anayempenda na kumjali!Wewe ulimfanya nini mkuu.
Sasa kama watoto wanaanza kufanya mapenzi mapema hayo maadili ya hizo sehemu yameegemea kwenye nini?Kuhusu mimba za utotoni jibu ni rahisi sana, watoto wa kike wa bara wengi ni ngumbaru wa masuala ya ngono
Tatizo lenu wabongo wengi mna IQ ndogo sana (labda hata chini ya 70) kuelewa mambo na hivyo wengi wenu mko kama retards. Mimi sisapoti ushoga kama ambavyo sisapoti Uislamu, Upagani au Ukristo ila natambua na kuheshimu haki za watu wote mradi tu hawadhuru wengine.Mkuu
Huyu jamaa nilimuona kuna muda ana mada fikirishi na nzuri ila nilivoona ana sapoti ushoga nikajua hili ni tatizo.
yeye ana unafiki wa wazi dhidi ya Muslims ni kama mwenzio Bigshow kuwa kejeli wakristo.
hawa ni watu wa sio na furaha wala tumaini la maisha.
Tatizo letu wanaume tuna ulimbukeni ila sidhani kama maamuzi tunayo yataka wakabebeshe dada, mama na watoto wetu tungekubali.Ni kweli kabisa mkuu, malezi ni ya kwetu sote ukiona mtoto kaharibika juwa mmeshindwa wote na ujirekebishe hata kizazi chako chote kisiteketee!
Hata maandiko yamesema mtoto mpumbavu ni mzigo wa mamaye lakini mtoto akiwa mzuri ndio furaha kwa babaye kwa hiyo ni kitu cha toka enzi na enzi!
Kama tuanataka kufurahia watoto wetu tuwajibike kuanzia ngazi ya familia na sio kushinda mitandaoni kulalamika tu kuwajibika sifuri!
Kwa tanzania nu ngumu kukuta asiekuwa Muislam anavaa hivyo !Wengi wanovaa ni waislamu , umejuaje kama hao walivaa na kuwa hivyo ni baadhi ya hao wachache wanaovaa , ambao sio waislamu?
Basi wote ni wale wale sema wapwani sio wanafiki ila wa bara ni wanafiki kujivika ngozi ya kondoo kumbe ni fisi.Usilazimisha mimi kuwa kuwa atheist, mkatoliki, Buddha n.k kwa sababu ya hoja zangu hapa jukwaani, huo ni upuuzi na fikra duni sana.
Kuhusu mimba za utotoni jibu ni rahisi sana, watoto wa kike wa bara wengi ni ngumbaru wa masuala ya ngono na taarifa za uzazi kwa sababu hayo masuala ni mwiko(taboo) kuzungumzwa hadharani katika familia na jamii za bara tofauti na Pwani kwa hiyo watoto wengi wa bara (teenagers) hawajui mambo ya kupachika vijiti, siku za hatari, condom na kutoa mimba.
Ni wanafki tu.
Wengine wanajifanya atheists kumbe ni wakatoliki.
Kazi kuuponda uislamu tu huku wakiutupia ukristo mara moja moja kuficha ajenda zao za siri.
Halafu walivyo wanafki muislamu akiamua kufuata misingi ya dini yake kikamilifu anaonekana hafai atasemwa na kubezwa akipotoka kama hao watoto pia uislamu utabagazwa.
Both ways uislamu unabagazwa.
Tunawachora tu ma atheist wa uongo kina Yoda
Hiyo sio sababu ya wewe kutojua mienendo ya wanao, umri wa kuchukua mtoto upo na bado unakuwa haujachelewa sana! Hivyo visingizio tu kama una nia wala hiyo sio kitu!Tukitaka kuwachukua si huwa mnakimbilia usitawi wa jamii na serikali inawakingia kifua?
Hii comment yako imefanya nimecheka sana especially ulivyomalizia hapo mwishoni 😂Dini haisaidii chochote katika malezi kwa sababu ni mambo yaliyotungwa na wanadamu. Kinachoweza kumshape mtu akawa na utimamu wa kibinadamu ni Wokovu katika Kristo Yesu.
Masista na wachungaji nao ni waislam kisa wanavaa kama waislam?Kwa tanzania nu ngumu kukuta asiekuwa Muislam anavaa hivyo !
Mnawakataa sio Waislam kwasababu wanaongea matusu
I😃
Mna uhakika wazazi wana malezi mabovu au ni kwamba utandawazi umeshika kasi kiasi kwamba unazidi malezi ya wazazi?Hata kama ingekuwa ni waislam kwani tatizo liko wapi?
Kwa sasa suala la malezi mabovu ni janga la nchi nzima sio swala la dini au ukanda.
Mizazi ya siku hizi imekuwa na malezi ya mabovu sana.
MkuuTatizo lenu wabongo wengi mna IQ ndogo sana (labda hata chini ya 70) kuelewa mambo na hivyo wengi wenu mko kama retards. Mimi sisapoti ushoga kama ambavyo sisapoti Uislamu, Upagani au Ukristo ila natambua na kuheshimu haki za watu wote mradi tu hawadhuru wengine.
Kabisa, na ile kujiona una haki ya kufanya lolote kisa umeoa!Tatizo letu wanaume tuna ulimbukeni ila sidhani kama maamuzi tunayo yataka wakabebeshe dada, mama na watoto wetu tungekubali.
Hiyo inakuwa haiwezekani binti akichoka kuvumilia lazima atarudi kwao tu!Sasa unakuta kijana pombe na uhuni umemjaa kamtelekeza mtoto wa watu hampi hela ya matumizi na akirudi anataka ale huku ameweka sigara mdomoni.
Wanawake wazuri wapo na wanawake washenzi wapo vilevile kwa wanaume! Ila cha ajabu wanaume wote humu ni saints kbbk🤦🏽♀️Kwa hali hii vijana tutagongewa sawa na kulaumu wanawake tusiangalie wanawake wachache waliofanya ushenzi dhidi yetu.
Safi! Na ni mindset tu nakwambia kuna watu kibao wameahuhudia mabaya kwa wazazi wao lakini hayajawaharibia mitazamo yao ktika kujenga familia bora! Wengine wanatafutaga tu visingizio wakuona yamewashinda!Mimi nilishuhudia baba yangu akifanya yaliyo mema kwa mama kwaio natambua umuhimu wa kusimamia familia kwa wazazi wote.
Source ya haya madai yako ni ipiIli uwe mchungaji ulaya lazima uwe shoga