JamiiForums inafahamuje ikitokea mwanajukwaa amefariki na kumuwekea RIP?

Hapana siogopi kuna baadhi nimefahamiana nao japo sijawahi kuonana nao, na mawasiliano siyo kivile
Endelea kuwafahamu mkuu, utakutana na yule ambaye utatamani kumfahamu na hata kumjua😅 muhimu tu usiwe na matarajio makubwa kupitiliza, walioko jf ndio unaopishana nao kwenye mitaa yako.
 
Mkuu una uhakika huyo unaempeleka kina kirefu anajua kuogelea?
 
Inachanguliwa moja zinazobakia mtaona tuu ghafla zimeacha kutangaza biashara, zimeacha kubully watu. Tutabaki tunasema tuu marehemu alikuwa mkorofi sana
Teh teh tehee teehee 😂😂,mi napendekeza watu wajitahidi wawe na id moja very unique,ili kuondoa ueleaji wa account nyinginezo au moderators wazifute,ili zisijaze file pendwa la jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…