Michael Mtitu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 693
- 512
Blue tick itatokea muda si mrefu kutoka sasa. Inaonekana ume-login muda si mrefu. Hata mimi ilifanya hivyo.Mm ni verified lakini naona sina hy blue tick, ila ukweli ni kwamba hy blue tick ni kubwa mno na ina muonekano mbaya
Natoa maoni vizuri tu, labda kwenye Jukwaa la SiasaHuna uhuru wa kukoment nyuzi za kula tunda kimasihara na real name
Hayo ni mazoea, Taratibu haziruhusu.Tumekuwa tukifanya hivyo, na mambo mengi yameleta matokeo chanyaβ¦.. kujuana sana kuishie makundi ya wasapu tu.
kuna faida nyingi sana ukiwa verified kuliko kujificha.
Remember the name Ben Saanane?
Ila hilo shimo la verified kubwa mnoBlue tick itatokea muda si mrefu kutoka sasa. Inaonekana ume-login muda si mrefu. Hata mimi ilifanya hivyo.
Weekend hii niko very available, pia nimepata kijiwe hapa Sinza jirani na Boardroom, karibu sana, kuanzia next week kutakuwa na seafood la hatari sana, vizibulio vitazibuliwa kama kawaHongera kaka mkubwa lini sasa tukavifungue vizibo na kula nyama ya kuchoma?
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Naomba Ussr ajiverifyMwaka jana tu ndio unajiita senior member
USSR
unatafuta ugomvi na mtoto wa mjini mwenzako wewe sio Bure atakutimbia hapo hapo stendi utakula makonzi mbaka stendi upaone bandarini!Basi hapo bujibuji kutagiwa na boss basi mbichwa huooo[emoji125][emoji125]
Kuna faida gani ya kuwa verified?
hahahahahahahahahaYaani niji-verify nishindwe kusimlia jinavyofukua mitaro ya madem??
Au wale wa love connect kule, wazee wa *NATAFUTA MPENZI H.I.V POSITIVE" wataweza tena??ππ
Bujibuji ni mnyakyusa wa kwanza kuwa verified jf.Basi hapo bujibuji kutagiwa na boss basi mbichwa huooo[emoji125][emoji125]