makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Niko hapa, shusha mistari mrembo wangu.makaveli10 njoo nikutongoze.
😂😂😂😂😂😂Natamani kungekuwa na voice note hapa....hahaa
Tulifahamiana km marafiki kwanza...
Mdogo angu unazingua unataka mpk tulipokutana..Hahaaa
Weee kwanza nikaona sitamuweza na sbb nilikuwa nimesha catch feelings nikajua akinila tu kwisha habari yangu nitateseka zaidi ....ushawahi kumkataa mtu huku unamuelewa? Ndo mimi ss
Tunatongoza humu humu nakwede😊Tongozeni huko huku achen watu waendelee kujificha
😀😀😀😀😀😀daahKwani JF ni dating site? Hadi muanze kuleta hizo njegeka.
Nyege mshindo zenu, ndo maana mnatapeliwa humu. Na bado si mna uroho sana na nyapuu, mtalizwa hadi mkome.
Na wajanja washajulia upuuzi wenu uko wapi, wanawapiga hapo hapo.
Wapii "kidney" 😂😂😂😂😂😂😂
Ngoja nile nishibe kwanza.Niko hapa, shusha mistari mrembo wangu.
Hahaha na kuna mwingine tena anajijua😁Usione aibu
Mtaje tuu Evelyn Salt kama mfano
Usicheke mahi, Figo katembea na pori la JF mwendo wa ngiri kuwabaruzaaa.😀😀😀😀😀😀daah
Vyovyote itakavyokuwa, tegemea jibu la NDIO, unajichelewesha mwenyewe tu, kufaidi UTAMU wangu..Ngoja nile nishibe kwanza.
Duh,hivi unakosa mademu hadi utongoze jamiiforum?JamiiForums usipokuwa makini utajikuta unatongoza mwanaume mwenzako ni kuwa makini sana
Sasa hivi wanawake unawatafuta kwa tochi hawapatikani kirahisi, now days JF wanaume ni wengi kuliko wanawake.
Na kuna baadhi ya members wa kiume wanafungua ID fake wakijifanya ni wanawake
Kuweni makini sana.
🤣🤣Utajikuta unaishi kwa dadako alafu unamtongoza shemeji yako.
Acha hasira mkuuKuna na wanawake wanajifanya wanaume mifano hii Foffana Castle_Lite Echolima1 ELI COHEN Chizi Maarifa Kinyungu Masai wa Town ukichunguza miandiko yao utagundua hawa ni wanawake kiasili lakn wanaact hip-hop
Kwa hiyo nijitaje ama nikaushe?🤣🤣Hahaha na kuna mwingine tena anajijua😁
Bro acha ushoger nishakwambiaga usiwe kama lamomi yule ameshindikana 😅😅Kuna na wanawake wanajifanya wanaume mifano hii Foffana Castle_Lite Echolima1 ELI COHEN Chizi Maarifa Kinyungu Masai wa Town ukichunguza miandiko yao utagundua hawa ni wanawake kiasili lakn wanaact hip-hop