Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Ewe mwanaume na mwanamke, Kula vizuri na ushibe then Fanya mazoezi mpaka utoke jasho Yani mpaka mwili useme basi kutwa mara mbili au tatu Kwa siku kama dozi

Afu uone kama utawaza Cha mwanamke au mwanaume, Wala upuuzi kama huu hutaweza kuuleta hapa,

Na kama ni mwanaume unaweza vuka hata mwezi bila ya kusimamisha mb..o..o, Wala kuwaza wanawake, mpaka mpenzi wako anayekuchunaga pesa atakusahau na wewe utamuona wa nini Yani hisia za kijinga zinapungua au zinakwisha kabisa

Fanyeni mazoezi ya mwili na viungo yanasaidia sana.
 
Ukweli ulio dhahiri ni kwamba"mahala popote ukikutana na mwanaume anaponda Sana wanawake kwa kujitafutiza visababu,jua huyo ni mwanaume dhaifu anatafuta Relief ya udhaifu wake!!!
Emphasis kwenye mwanaume dhaifu, aina yao zamani huko unyamwezini ndiyo walikua wanatangulizwa mbele kwenye vita wakamchokoze adui na waanze kuuliwa kabla strong men hawajashusha mashambulizi 😅
 
Men are built differently when it comes about sexual desires... Ujue kiatu kile cha akina dada chenye visigino virefu vile vya Ko ko ko vinatosha tu ku arouse men sexual desires. Hii hali huitwa fetishism
Daaah, poleni.

Mimi hakuna physical feature ya mwanaume stranger ambaye naweza tu kumuona hata simfahamu ikani-arouse. Hakuna!
 
Nakubal kiongozi umenena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…