Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

Ila wanawake wanarahisisha sana vitu, yaani kweli utumie tu 150 bila chochote. Daah au kuna men wanafanya hivyo, mimi ndio sijui na ubahiri wangu?
 
apo kwenye ndoto zaidi ya moja ndo complication inapoanzia. Hata mimi nina ndoto zangu lakn najitahidi kumpa kipaumbele.

Bahati yake ni kwamba yuko loyal, tumetoka mbali na ninampenda sana.. vinginevyo ningeshapiga chini.
 
apo kwenye ndoto zaidi ya moja ndo complication inapoanzia. Hata mimi nina ndoto zangu lakn najitahidi kumpa kipaumbele.
Ukiweza kujibu yale maswali yangu matatu ya mwanzo ndiyo tutajua kama kweli unampa yeye kipaumbele au unajipa wewe kipaumbele.
Bahati yake ni kwamba yuko loyal, tumetoka mbali na ninampenda sana.. vinginevyo ningeshapiga chini.
Hongera kwa kumpata mwanamke mwema, unayempenda!
 
Mwaka jana nilipata harakati ingenipeleka nje ya nchi. Nikachagua kubaki hapa kwaajili yetu.

Love is beautiful . Hapa nina hofu ya kumpoteza na anavokataa nimuweke ndani anazidi kunikoroga 😁
Reply yako ya kwanza ilikua ya makasiriko, kumbe upo in love, shida ni mwanamke amekuwekea msimamo mkali na hajayumbishwa na neno "nataka kukuoa".

Huyo ndiyo mke sasa, anajitambua, anajua umuhimu wa wote kusimama vizuri na kuwa na kipato. Hapo ukioa hata wewe mume unakua confident usipokuwepo watoto wako wana mama imara atakayewahudumia.

Kubali kucompromise na jua kwamba huyo si aina ya mwanamke ambaye anaweza kuacha kazi yake akawa full time mama wa nyumbani.

Atauona upendo wako na nia yako ya dhati kama utakua "a supportive partner" na kutafuta namna ya kuanzisha familia pamoja bila kumtoa yeye kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…