Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

My dear,wao ndo wana shida ndo maana wanalalamikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Mi nimeolewa, lakini niliolewa kwa kupenda si kwa sababu ya pressure ya umri wala jamii. Kuna watu walijaribu kunipressurize enzi hizo sijui ohho umri unaenda, waliongea wakachoka wakaacha.
Unamuuliza mtu anaolewa lini unataka mkaolewe wote au?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Mimi tena nilihakikisha nimejipata kiuchumi,nikaweka standards na vigezo vya juu mnoo, nikasubiri akapatikana aliyetimiza hivyo vigezo ndo nikamkabidhi moyo wangu. Nilikuwa tayari nife single kuliko kuwa na mtu asiye na vigezo navyotaka. Na nahimiza mabinti wajitafute kiuchumi na waweke vigezo vya juu,raise the bar ,na wasilegeze msimamo.
# Bora kufa single kuliko kuolewa na gumegume
 
Mabinti wa sasa hivi wanawajua mlivyo Malaya.... Hamna mapenzi ndio maana hamna hamna kaomba hiyo 150k ukimpa mkapeana wewe utajisifu umeshamla na ni Malaya ,,, na yeye atijipoza na 150k kiroho safi atafanya yake
hapo na wewe mkuu unamsifia huyo binti? Hicho alichokifanya ndio umalaya sasa! Yaani anataka nimlipe 150k ili niipige mbususu,yaani anaiuza! Ukute mimi nlikuwa na lengo jema tu lakini kwa kupenda hela na mwenye tamaa malaya bado hata hatujafahamiana vyema tayari 150k anaomba si ni upimbi wa wanawake huu?
 
Tumechokaa!!πŸ™ŒπŸΎ
 
nimemtongoza leo,amekubali leo tayari ameniomba 150K ya kodi,huoni kama kuna shida mahala? kuhusu mwanamke mmoja kuwakilisha jamii nzima ni huwa hivyo! malalamiko yamekuwa ni mengi kuwahusu hawa viumbe.
 
Wewe si umetoka kuoa tatehe 14 ? inakuwaje juzi tena ukatongoza mwingine ?

Na kama ulikua tayari kumpa hiyo hela kwa kigezo cha kukupa papuchi yake, kwanini unaona ni huyo bidada tu ndiyo mwenye shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…