TikTok2021
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 690
- 1,060
hiki kinachofanyika ni kikubwa mnoHuu ni ukweli kwamba JPM ataenziwa vizazi na vizazi. Hawa watoto wadogo wanajua historia yake na wamepata hadi mwamko wa kwenda kumfariji Mama Janeth. Hakika Mungu si athumani.
View attachment 2561685
wanaodhani wanaweza kumfuta JPM kwenye anga za Tanzania wamechemka
wabaya wake wamekazana kumposti humu vibaya lakini kinachofanyika Chato ni kikubwa hata maadhimisho yake ni makubwa japo serikali ilikuwa inatamani yawe madogo wayapotezee